Recent content by Anna Mghwira

  1. Anna Mghwira

    Heshima aliyopewa Mbatia ni kubwa kuliko aliyopewa Mama Anna Mghwira

    Duniani kote ilani inayoongoza nchi ni ya chama kinachoongoza nchi kwa wakati ule. Inashangaza kama hujui...
  2. Anna Mghwira

    Heshima aliyopewa Mbatia ni kubwa kuliko aliyopewa Mama Anna Mghwira

    Pole sana kwa kutumia uhuru wako namna hii. Una haki na maoni yako japo inaonekana huelewi kahisa mfumo wa uendeshaji nchi unavyofanya kazi. Kuwa kwa mfano kwako suala kubwa ni cheo.na si utumishi. Hujui kuwa Mkuu wa Mkoa na Waziri ni ngazi moja na Katibu Mkuu wa wizara ni sawa na Ras ngazi ya...
  3. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Hapana Dereck, Mjadala umeendelea lakini pia taratibu za kisheria ni ndefu sana mpaka kupata kibali cha kuchangisha, kupata watu wa kuendesha, kufanya usaili nk. Licha ya majukumu yangu ya sasa, watendaji hawa wamejitahidi kukamilisha kazi hii kutokea pale tulipokuwa mwezi wa 5 mwishoni. Pia...
  4. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Wapendwa wanajukwaa ni takribani miezi sita (6) tangu nilipoleta hoja za kuanzisha mfuko wa kusaidia kuongeza wigo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, kuongeza idadi toka pale bodi ya mikopo ilipoishia. Napenda kuwajulisha kuwa taratibu za kisheria na kiofisi zimekamilika, kutokana...
  5. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Tuvumiliane kidogo, kukamilisha taratibu zote, inachukua muda kidogo kwa upande wetu.Asante
  6. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Waheshimiwa wanajukwaa, natoa taarifa kuwa tumechukua muda mrefu kuanza lakini tunaendelea na mchakato kuhakikisha kila kitu kinaenda kwa utaratibu unaokubalika wa nchi, taratibu za kisheria nk. Ninajua wanafunzi wengi wametegemea tutaanza mapema na sisi tungependa kufanya hivyo lakini kwa...
  7. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Na sisi tunajitahidi kukamilisha taratibu za mfuko kuanza kazi wanafunzi wenye sifa na nia wapate msaada wanaohitaji.
  8. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Ni muhimu sana kuwa na mfumo wa elimu unaothamini utu, uzalendo na uadilifu. Kila mtu atafute sifa anayostahili kuipata.
  9. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Analyst, hili ndilo lngo lake, ikiwezekana tuondokane kabisa na kuwana kadala raia wasio na elimu kwa sababu ya kukosa ada!
  10. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Mwitikio wa wananfunzi juu ya hitaji hili ni mkubwa. Mpaka sasa tuna maombi kutoka wanafunzi wa SAUT, UDSM, TUMAINI, MZUMBE NA MUHIMBILI.
  11. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Asante sana, andiko tayari, bodi inakaa jumamosi hii..tayari tigo na voda wanasubiri tukamilishe watupe namba za kuchangia...wanafunzi wenye uhitaji pia wamejitokeza kwa wingi. Mamlaka husika kimsingi haina tatizo imetupa muda wa matazaamio tuone uchangiaji utakuwa wa namna gani. Ninaamini...
  12. Anna Mghwira

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    a Asante Mboboyu kwa ufafanuzi. Uzi huu ubaki kwa suala la mfuko wa elimu ili kusaidia mjadala uendelee kwa ufanisi.
  13. Anna Mghwira

    Kati ya wanawake na wanaume nani bora katika usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za umma?

    KATI YA WANAWAKE NA WANAUME: NANI BORA KATIKA USIMAMIZI NA UFUATILIAJI WA SHUGHULI ZA UMMA? Inaonekana kama wanawake wana uwezo mkubwa katika majukumu ya usimamizi wakati wanaume wana uwezo mkubwa katika ufuatiliaji. Tujadili.
Back
Top Bottom