Recent content by anna bubelwa

  1. A

    Jinsi ya kupata taarifa pride kwa wale tuliofany written interview jana.

    kwel apo umenena kyara itabid tuwe tunafanya ivo nahis itasaidia kidogo bt kwa mtindo km huu wa kufanya karibia interview ht 10 kwa mwez tutajaza sasa phone book adi.itabid tuwe tunanakil ht kwenye karatasi duu.
  2. A

    Jinsi ya kupata taarifa pride kwa wale tuliofany written interview jana.

    habar zenu wanajamvi jana nimefanya interview pride but jinsi ya kupata taarifa km mtu umefaulu oral hawakusema na km wakiamua wawapigie watu simu kwa wale waliofaulu sasa tatzo kwa wengne ambao watakuwa hawajafaulu watajuaje? naombeni jib kwa wale ambao mliokuwa kule
  3. A

    Nafasi za kazi NSSF

    jamani ivi nilazima ku certify vyeti mahakamani ?mi nilisahau nililisoma tangazo harakaharaka yan nw ndo naona swala la ku certify je ndo ntakuwa tayar nimejidisqualify automatically?au
  4. A

    Kupata ajira za procurement inabidi kwanza ufanye mitihani ya bodi?

    mmmmmh vip na wale walioko makazin?asa kwann wanawaita watu interview wakat wanajua hawana vigezo km sio kuchoshana.
  5. A

    Kupata ajira za procurement inabidi kwanza ufanye mitihani ya bodi?

    Nimefanya interview jana utumishi bt mwajiri ni PPRA swali langu ni kuwa, nimesikis sasa hiv mtu yoyote aliesoma procurement hawezi kuajiriwa as procurement oficer au kwenye field yoyote inayohusika na procure kama hajafanya mitihani ya bod ya procurement. Je hili swala lina ukweli ndani yake...
  6. A

    Kuitwa kazini PCCB

    leo hii kuna rafik angu mmoja kanambia iko kitu kuwa anna nasikia watu wanaitwa pccb tena asa sikutaka kumchimba sana ye kapata wap izo story ht mm nilfanya oral interview bt job hola niko kitaa 4 yrs.zen imani ni kitu kikubwa sana zaidi tu tuendelee kuwa na iman ndani ya iman hutokea.cz kuna...
  7. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    yani inaboa sana nyie achen tu yn mpk leo kimya labda wanasubir mpk bajeti ipite ngoja nijpe moyo.
  8. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    ndo ivo bwana huez amin
  9. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    mungu akubariki amina
  10. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    ni kwel kabisa Gambayi thnx sana kwa kunitia moyo.
  11. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    asante kwa kunitia moyo entreprenegro ils inachosha unasubiri interview ya oral mwezi mzima au wanasubir bajet ya mwaka ikae, vp na we upo oral
  12. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    yani iko ndo kinachoniuzi born again yani alafu mtu unadhindwa useme usafir ukafanye mambo mengine maana wat if nasubir iyo oral zen nkafanya af nicpate cz ni watu 4 out of 20.zo writen nilkuwa mtu wa 4 zo hai garantii mtu kufaulu oral.
  13. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    alafu ukizingatia cna ndugu dar ndo mana
  14. A

    Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    yan nimechoka born again acha tu
  15. A

    Hadithi: Wakili wa moyo

    jamn mizambwa mbn ivo ujue hadith zako ni nzur na pia zinasomwa na watu wengi sasa cjaelewa tatzo ni wapi jmn mpk unakuwa unatuma hadith moja af unakaa siku nne badae ndo unatoa au tupe utarbu bas coz kwenye hisia zangu toka majuz hamna kitu tusikilize bas maombi yetu mizambwa
Back
Top Bottom