Ni utoto na udhaifu wa hali ya juu sana, huyu ana matatizo ya kijinsia ndio maana anatafuta njia ya kujustfy kwa jamii kua anaweza na hana tatizo ila kiuhalisia sio mzima. Mwanaume kamili hawezi kujisifia kutumia udhaifu wa mwanamke hadi kuuleta huku mtandaoni isitoshe ni mke wa mtu. Kwa kifupi...
Habari za mchana wadau,
Kwa muda sasa nlikua sijawa na uhakika na makato ya Nmb kwenda tigopesa, lakini leo nimejionea maajabu.
Nilikuwa na shilingi elfu tano na shilingi kadhaa kwenye akaunti lakini cha ajabu ni kwamba nikashindwa kununua vocha ya tigo ya 1500/= kwa madai kwamba salio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.