Relation nzuri Ni maongezi ambayo Ni chanzo cha kila litakaloendelea.Ndg watz awamu hii INA kila sababu ya kuwa hvyo ilivyo bas kazi kwetu kama utavumilia mahusiano yako kwake bad mkopo sasa na mnachotaka ndo hicho lakini mjue maendeleo yana sheria zake ambayo moja Ni kupanua ufahamu...
Wanaforum registration form inaonsha nmechaguliwa mining lakin kwenye ubao wa wachaguliwa naona niko environmental. VP nfanyeje niliomba mining as no.1and environmental kama chaguo la 2.
Tufanyeje kama below3.5gpa na cc cjui tutapata mkopo tulikuwa tumejitoa fahamu tukatuma tu FM za mkopo lakini tukabaki kusubili irakavyokuwa ma Heslb nap wakaja na usemi kuwa hawakotayari kutoa mkopo kwa waombaji wapya .hatuelew kwa kweli irakuwaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.