DEPETERO
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 815
- 589
nahitaji kujua hivi ninavokuja kuripot hakuna ndugu yangu dom inamaana hostel nikilipa nalala chuoni?[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] kuna nini?
nahitaji kujua hivi ninavokuja kuripot hakuna ndugu yangu dom inamaana hostel nikilipa nalala chuoni?[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] kuna nini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wengne hawa pawez waache wakale restaurantMkifika udom coed nendeni ujasi ulizeni kwa mama boni.
Utalala UDOM chuoni kwa kipindi chote cha masomo yako. Ila pia usipotaka unaruhusiwa kukaa nje ya chuo. Niwewe tu. Lkn hostel zipo za kumwaga.... Last year block zisizopungua tano huko humanities zilikuwa vacant.nahitaji kujua hivi ninavokuja kuripot hakuna ndugu yangu dom inamaana hostel nikilipa nalala chuoni?
Unalala makuru kuna gest za chuonahitaji kujua hivi ninavokuja kuripot hakuna ndugu yangu dom inamaana hostel nikilipa nalala chuoni?
asante mkuu,naomba mawasiliano yako tuongeeUtalala UDOM chuoni kwa kipindi chote cha masomo yako. Ila pia usipotaka unaruhusiwa kukaa nje ya chuo. Niwewe tu. Lkn hostel zipo za kumwaga.... Last year block zisizopungua tano huko humanities zilikuwa vacant.
KARIBU SANA
Khaaa.. Sio kwa jibu hiloUnalala makuru kuna gest za chuo
That's the answer..Ukiwaza kuajiriwa unaweza ukajinyonga baada ya kumaliza masomo na kuanza kurandaranda mtaani kwa kukosa ajira.
USHAURI WANGU:
Nenda kasome upate maarifa na ujuzi wa kujitegemea mwenyewe na sio kutegemea kuajiriwa.