Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

Hizo picha hazina uhalisia maana nimeona huwa wakifika mwaka wa tatu ndo wanaanza kujitambua maana wanaenda mtaani, ila kimbembe mwaka wa kwanza semester ya pili, mwaka wa pili wote na semester ya kwanza mwaka wa tatu
 
Wengi hawajitambui,wakifika huko wanahisi wamejitambua kumbe wanajitumbua....wanasikitisha sana...na wataangamia sana!
 
Jamani naombeni mnisaidie suala la elimu bure hapa Tanzania Mimi nilidhani ni bure kweli lkn huku rukwa manispaa ya sumbawanga katika Shule ya msingi chem chem Mwl Mkuu anawagiza wanafunzi kununua kadi za maendeleo je fedha za elimu za elimu bure hazihusu manunuzi hayo na mm mwenyewe watoto wangu wameagizwa. nisaidieni mwenzenu kama hata huko kwenu yapo haya.
 
Hizo picha hazina uhalisia maana nimeona huwa wakifika mwaka wa tatu ndo wanaanza kujitambua maana wanaenda mtaani, ila kimbembe mwaka wa kwanza semester ya pili, mwaka wa pili wote na semester ya kwanza mwaka wa tatu
Ndio ushauri wako???
Shukrani kwa kucoment mkuu
 
Jamani naombeni mnisaidie suala la elimu bure hapa Tanzania Mimi nilidhani ni bure kweli lkn huku rukwa manispaa ya sumbawanga katika Shule ya msingi chem chem Mwl Mkuu anawagiza wanafunzi kununua kadi za maendeleo je fedha za elimu za elimu bure hazihusu manunuzi hayo na mm mwenyewe watoto wangu wameagizwa. nisaidieni mwenzenu kama hata huko kwenu yapo haya.
Ulishindwa kuanzisha thread yako????

Umeona hii thread inazungumzia elimu bure?????
 
KWANINI HAUJATAJA UZINZI ? NAJUA NAWE UTAKUWA MZINIFU NDIO MAANA UMEONA UTAJE WALEVI NA WEZI TU
 
Wanaforum registration form inaonsha nmechaguliwa mining lakin kwenye ubao wa wachaguliwa naona niko environmental. VP nfanyeje niliomba mining as no.1and environmental kama chaguo la 2.
 
Wanaforum registration form inaonsha nmechaguliwa mining lakin kwenye ubao wa wachaguliwa naona niko environmental. VP nfanyeje niliomba mining as no.1and environmental kama chaguo la 2.
Wasiliana na chuo(DOS) atakuwa na majibu yako.
 
Tabia ni sawa na ngoz ya mwil kamwe huwez kuibadilisha. Kama ndio tabia yako utaiendeleza tu ata kama utajarbu kua tofaut lakn utarud katka njia kuu.
Cha umuhmu n kujiweka bize na masomo na ata kujiongezea uelewa zaid katka course unayosomea.
Vile vile behaviour is adaptive and can translate from one person to another.
so cha umuhmu pia n kujiepusha peer group ambayo yanaweza kupeleka negative impact katka masomo yako.
Ivyo ndio nahic ndio tatzo na marekebisho yake, kulingana na uelewa wang mdogo
 
Usiikaribie dhambi
Mkumbuke mungu siku zote za ujana wako
Usikaribie kitu chochote au mtu anayeweza / kinachoweza kukushawishi
Kuwa bize na masomo pia pata muda wa kufanya vitu vingine hapo utampendeza mungu na utafanikiwa ewe mwanafunzi mtaraj
 
bhana eeeh msitutishe chuo tutaenda na clubs vile vile tutanenda alafu tuone kama tutasup.........
Unazungumzia kusup tu. Wakati sup ni kitu kidogo sana huko. Nenda na ufanye upuuzi huo uone makuu ndipo utajua udogo wa sup. Utatamani hata ungepata sup mia nane kuliko kile kitakupata. Dhibiti mihemko.... acha kulimbukia chuoni.
 
Back
Top Bottom