Recent content by ANJOA CPN

  1. ANJOA CPN

    Mwaliko wa mafunzo ya matumizi ya program ya mikopo (Loan performer) Bure!

    Ni wazo zuri. Lipo katika mipango ya baadae, kwa sasa tunaanza na hizo taasisi kwanza.
  2. ANJOA CPN

    Mwaliko wa mafunzo ya matumizi ya program ya mikopo (Loan performer) Bure!

    Kampuni ya Crystal Clear Software Ltd kwa kushurikiana na kampuni ya Get up Tanzania Co. Ltd na Anjoa Co. Ltd inakuletea mafunzo ya siku moja ya matumizi ya program ya mikopo inayoitwa Loan Performer bure. Loan performer ni program ya mikopo ya aina yake. Inatumika katika inchi zaidi ya 50...
  3. ANJOA CPN

    Invitation for Loan Performer Demonstration (Free).

    We are quite pleased to announce that Crystal Clear Software Ltd, the sole developer of number one loan software called “loan performer” has released new version. More than 50 countries are using loan performer across the globe. In Tanzania, more than 26 Microfinance companies and Sacco’s are...
  4. ANJOA CPN

    Credit Officer Needed.

    No thank you
  5. ANJOA CPN

    Credit Officer Needed.

    Credit officer is needed at JZH Investment and Finance ltd- Mbagala, Dar es Salaam. Send your cv only if, - You are a certificate or diploma holder in account, banking or marketing. - You live in Temeke district or nearby area. Female candidates are highly considered. Send your CV on this...
  6. ANJOA CPN

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nakubaliana nawe, Msitumie vishoka, tumia wanasheria au consultant.
  7. ANJOA CPN

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hello Ndugu, Tafuta wanasheria na hasa wenye uzoefu na hizo kazi watakusaidia kukupa mwongozo. Hata ukienda brela huwezi kupata taarifa zote na kwa ufafanuzi maana wana watu wengi wanaowahudumia.
  8. ANJOA CPN

    PICKUP DOUBLE CABIN- DODGE RAM INAUZWA

    Yes, Amercan Car
  9. ANJOA CPN

    PICKUP DOUBLE CABIN- DODGE RAM INAUZWA

    Properties: - Made in 2001 - 8000 km - Registered - No encumbrances - It use petrol Price: 25,000,000 Tsh Contact us on: Email: anjoa_limited@yahoo.com Tell: +255688568755 or 0759692024
  10. ANJOA CPN

    Anayefahamu taratibu za kusajili NGO

    Habari ndugu. wengi wamejitahidi kukueleza, kwa kifupi sheria inaruhusu watu kuanzia watano kufungua NGO. Lakini kutokana na mfumo wa NGO ulivyo mnapokuwa wengi ndivyo inavyokuwa na legitimus kubwa. Hivyo ni bora mkawa zaidi ya watano angalau nane. Mtafanya kikao na kuchagua uongozi. Documents...
  11. ANJOA CPN

    Natafuta supplier wa nguruwe

    Mkuu, nitumie namba yako ya simu. Yangu 0759692024
Back
Top Bottom