Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Nina ndoto za kuwa na kampuni ya mafundi umeme. Sasa baada ya kuserch jina BRELA nimeambiwa niende kwa mwanasheria kutengeneza MEMART.
Suala lililonifanya nije hapa ni kuhusu share capital. Kusema ukweli kwa sasa nataka kusajili kampuni ili iniwezeshw kwenda CRB kusajili kandarasi kwa hiyo kwa sasa sina capita.
Kuna mtu kanishauri kuwa nikifungua kampuni yenye sharecapital chache nitakosa tenda za serikali na makampuni makubwa
ushauri mwingine ni kwamba nikiweka mtaji mkubwa TRA sitaweza kodi yao.
Mm nilikuwa nimepanga niandike mil 5 japokuwa sina hiyo hela lkn kuna wanaosema ni ndogo sana wengine ni nyingi sana.
Naombeni ushauri jamani.