Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124.
Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
Usimuamini sana mwalimu Nyerere. Yeye ndiye aliyefuta mfumo wa vyama vingi. Lakini akafanya ujanja ili akumbukwe kama vile yeye ndiye aliyeleta mfumo wa vyama vingi.
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.
Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?
Asanteni
Huwezi kupata trekta ya maana kwa milioni 20. Ingawa unaweza kupata trekta ndogo MF135 kwa 14 Milioni. Lakini hiyo ni trekta ndogo sana na haiwezi kuvuta jembe la disc 3. Mara ya mwisho niliyakuta pale roundabout junction ya Kawawa Road na Kigogo. Kama unatokea Ilala, ukifika Roundabout shuka na...
Zambia, Zimbabwe, kenya, cameroon, comoros, senegal, ivory coast, gabon, ghana, lesotho, etc Zote zimo kwenye huo uchumi wa kati tunaojivunia.
Lower middle yaani nchi haipo kwenye nchi zinazohitaji msaada wa dharula
Kwahiyo tani 10 ndiyo mwisho mwa single diff?
Jee kama una DAF LF truck yenye GVW 12 tonnes, nayo pia huruhusiwi kuzidisha tani 10?
naombeni elimu hapo, wanaojua mambo ya mizani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.