Recent content by Aniko

  1. Aniko

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

    Mkuu hii picha imepigwa na na mpiga picha mmoja wa Ikulu,na ndiye ametuma kwenye hizo media nyingine yawezekana hawakuwa wapiga picha wa vyombo vingine,tatizo ni la mpiga picha kuwa na picha moja tu.
  2. Aniko

    JamiiForums Tanzania Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

    Huyu kiumbe dhaifu njaa inamsumbua sana.
  3. Aniko

    JamiiForums Tanzania Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

    Acha chuki wewe bado tu mpaka leo unatafuta huruma ya uteuzi?wewe uliwahi kusema nini cha maana kulinganisha na Lema?
  4. Aniko

    JamiiForums Tanzania Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

    Ni kweli ninyi Wakinga utajiri wenu ni wa masharti kwa asilimia kubwa?
  5. Aniko

    JamiiForums Tanzania Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

    Unahisi Serikali watafanikiwa kwenye hili?
  6. Aniko

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Kwakweli..................
  7. Aniko

    JamiiForums Tanzania Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

    Wacha tuone huko mbele ya safari ila watawala waelewe hili ni bomu wanalitengeneza.
  8. Aniko

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

    Kama kuna kampuni ya simu mbovu basi ninyi ndio kilanja wao,najuta kusajili mtandao huu na suala la muda tu itakuwa kwenye pipa la takataka vipande vya sim card yenu.
  9. Aniko

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

    Siku zilizoongezwa siyo yakuwa waendelee kubakia maeneo hayo wanatakiwa waondoke wasilewe na hizo taarifa.
  10. Aniko

    JamiiForums Tanzania Fundi carry Suzuki injection

    Mpigie huyu 0652341134 tatizo lako litakwisha ni dogo sana kwake kwagari hizo.
  11. Aniko

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba unaifahamu hujuma hii Dodoma?

    Sasa wawe wavumilivu kwa miaka mingapi mingine?wewe hapo kazini kwako ukiambiwa vumilia kwa miezi miwili mshahara wako utaweza kuvumilia?mbona majibu hayaendani na majibu kwa wana Msalato?
  12. Aniko

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Jiji zima amechafua makaratasi yake kila kona.
  13. Aniko

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: Kuchimba dawa kwa abiria sasa ni dakika 20

    Kwani awali ilikuwa dakika ngapi?
  14. Aniko

    JamiiForums Tanzania Ikumbuke ahadi/nadhiri uliyoiweka

    Mkuu inahuzunisha lakini pia inafundisha kwenye maisha yetu ya duniani.
  15. Aniko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili Jijini Dodoma jioni ya Septemba 8, 2021

    Royal Tour ya mama wacha kazi iendelee
Back
Top Bottom