Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,641
- 218,091
Hii ndiyo Taarifa mpya iliyosambazwa na Mamlaka ya kudhibiti usafiri wa ardhini (LATRA) Ambapo madereva wa mabasi ya abiria wametakiwa kuzingatia muda huo katika kula na kuchimba dawa kwa abiria wao.
Mamlaka hiyo imetoa namba ya simu 08000110019 ya kupiga bure endapo kuna dereva atayeshindwa kufuata mwongozo huu mpya.
Chanzo : Mwananchi
Ni matumaini yetu kwamba ile adhabu ya abiria kukimbilia basi lililomuacha huku ameshikilia suruali yake isimdondoke itakuwa imefika mwisho.