mgayamapesa
Member
- Oct 6, 2021
- 66
- 37
usione dana dana nyingi kwa ugaidi alioufanya mbowe mahakama inashindwa impe adhabu gani gaidikaa kwa kutulia
kaa kwa kutulia tutajua mashahidi wapo au hakuna
usione dana dana nyingi kwa ugaidi alioufanya mbowe mahakama inashindwa impe adhabu gani gaidikaa kwa kutulia
kaa kwa kutulia tutajua mashahidi wapo au hakuna
Mie mnanichanganya sana mnavyomhusisha na T-lisu, ila nae alikuwa na makirikiri kule clouds, je, lile si genge la uharifu?Makonda al- maarufu Bashite ashughurikiwe kwanza ndio tunaweza kuongea lugha moja.
Bashite amedhurumu haki za watu za kuishi, apelekwe mahakamani akapate haki yake kama Sabaya.
Kipindi marehemu kwenye kesi Kama hizo ungesha sikia kauli yake iki viongoza vyombo sheria kutoa maamuzi anayo yataka yeye Kama yeye.Justice system ineanza kufanya kazi yake bila kuingiliwa na Wahuni
Ukifananisha kesi mbili ya Mdude na Sabaya utaamni hivyo
Well Pongezi kwa Raisi Samia Hassan.
Ukizijua sisasa za TZ usingesema hivyo,kila mtawala akiingia huwa anawatu wake anataka kuwashikisha adabu.Kwa kitendo Cha kumshughulikia Sabaya , imetupa faraja na kuona ni jinsi gani ulivyokua unaumia kwa maovu wanayo tendewa watanzania.
Sabaya alijisahau Sana , wenzake Kama makonda na Gambo walishtuka na kutaka kujichomoa, Ila wapo wakamatwe wakaeleze kwanini waliwatesa wananchi, pia Muro, Hapi, na yule mwehu au sijui kuwa ni kichaa Chalamila pia wakatwe.
Huyu Humphrey yeye aulizwe kwanini alihusika kwa kiwango kikubwa ku inajisi katiba ya nchi hii.
Siku hazigandi aliimba lady Jay Dee comando mpaka Sasa sabaya amebakiza takriban siku elfu kumi Mia Tisa na hamsini. Sio siku nyingi kiviiiiiiiiiiiileeeee. Ni swala la uvumilivu tu. Unajikaza mwanaume.
Kwakweli..................Siku hazigandi aliimba lady Jay Dee comando mpaka Sasa sabaya amebakiza takriban siku elfu kumi Mia Tisa na hamsini. Sio siku nyingi kiviiiiiiiiiiiileeeee. Ni swala la uvumilivu tu. Unajikaza mwanaume.