Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

jipange kukabwa sana na mabasi kutekwa sana mikoani hilo kundi linalotolewa hapo + vyeti feki + wahitimu ambao Jobless kundi linarud mtaani kuangalia alternatives za maisha tegemea tabia za kipindi cha Jakaya kurudi kwa kasi sana , ilibid chief angaya aanze na kuandaa mazingira mazuri mkoa mzima wa dar kisha ndo awafukuze , juzi nmepita maeneo ya Yombo nmekuta kero ya eneo elekezi lipo kwenye njia ya maji taka yanayofunguliwa na wanaoisho kwenye miinuko , hii ilibidi serikali wapige streams za majitaka ili majitaka yasitapakae na kuwa kero , kwa hali kama hii ndio maana vijana wengi walikuwa wanakomaa barabarani sababu soko na mazingira ni rafik kwao
Ni kuimalisha ulinzi ukikatwa kwa ujambazi ni shaba tu!
 
Back
Top Bottom