Recent content by Anheuser

 1. Anheuser

  ARUSHA: Mtoto wa miaka 4 Anajisiwa na kisha kuuawa kwa kuvunjwa shingo

  Mungu ameshindwa kumuonea huruma mtoto wakati anasokomezwa dubuasha la jambazi kabla ya kuchinjwa sasa atapata wapi muda wa kumshughulikia muuaji? Haya ma imani haya, daah, tunafundishwa jinsi ya kumuingiza Mungu kwenye matukio, tukio zuri tunasema Bwana kafanya, tukio messy tumekuwa...
 2. Anheuser

  Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

  nani anaenda benki kuchukua mkopo kwa zabuni za serikali? Unatanguliziwa hela ya tenda kwanza ndio unaenda kufungua biashara. Muulize Lugumi. What was his financial qualification kupewa tenda za kijeshi? Hakuna mfanyabiashara wa maana Tanzania hii eti anaenda benki kuchukua mkopo kwa tenda ya...
 3. Anheuser

  Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

  sijakuelewa
 4. Anheuser

  Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

  Watoto wangapi wana ipods? Tatizo la gadgets mashuleni, jamani watoto wa Tanzania wanaenda shule na njaa, hawana ada, miguu peku, hawana vitabu, we unaongelea ipods? Ndio maana mimi siwadhihaki waliofeli kwa sababu si wote wamefeli for luck of effort. Hamjui mazingira wanayosomea, hamjui kwa...
 5. Anheuser

  Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

  Yote ni makosa! Watoto 7,802 waliodhalilishwa na Rais ni ujahili wa ajabu! Na sisi kumbandika na kumdhalilisha mwanae Jesica ni ufidhuli mkubwa! Nilisema hayo wakati wa kudhalilishwa Mwanaasha Kikwete na nitasema tena. Vyombo vya usalama vinataka tumuheshimu Rais. Wengine tunasema tunataka...
 6. Anheuser

  Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

  I have explained that issue a million times, it's called academic privacy and its proponents have cogent reasons. I mean I've belabored that point for years. Nisingependa matokeo ya mtoto yabandikwe kwenye ma website for everybody to ruminate on. It is the worst kind of government intrusion...
 7. Anheuser

  Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

  Hakuna academic privacy duniani kote? Sasa mtu kama wewe jamani huna hata a smidgen of exposure ya dunia inavyokwenda, tutajadili nini na wewe? Total waste of time. Kwa hiyo kubandika matokeo ukutani kumekomesha wizi wa vyeti? Ni utafiti gani umeonyesha kwamba watoto wa zamani walikuwa...
 8. Anheuser

  Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

  He spewed a lotta hot air na lugha za dharau kwa wananchi. Watu wametumia sheria za nchi kutafuta pesa we unasema "imekuwa kwao." . Mambo ya ardhi hayaendi kwa amri za Waziri! There is a LAND ACT of 1999! Wewe Waziri huna mamlaka ya kuharamisha "kuanzia leo" utaratibu uliopo wa matumizi ya...
 9. Anheuser

  Sukari sasa Tsh 6,000/- kwa kilo. Waziri Mkuu, zile tani ulizoagiza ziko wapi?

  Maisha bila sukari yanawezekana. Tupunguze demand ya sukari, bei itashuka.
 10. Anheuser

  Video iliyonitoa machozi ya mwanadada aliyedhalilishwa lodge, hatimaye wahusika wakamatwa na polisi

  Waziri Ummy kasema yeye kaangalia video halafu anawaasa watu wasiisambaze, we mbona umeangalia video iliyosambazwa? Public relations skills za viongozi wetu ni horrendous. Anasema amewaambia polisi waifikishe kesi mahakamani haraka. Why give the suspects of the worst crimes the luxury of...
 11. Anheuser

  Ndege ya EgyptAir Airbus MS804 iliyokuwa imepotea na jumla ya watu 69, Imedondokea Mediterranean Sea

  Tunampa huyu kiongozi too much credit, mtu kashindwa kusaidia roho za watu zisipotee tunamuomba asaidie mabaki ya ndege yapatikane, what does he care? Imefika wakati sasa wa kumuomba aanze kufikiria ku groom a successor, amekuwa sasa hashauriki.
 12. Anheuser

  KUTOKA BUNGENI: Hotuba ya Lema yazuiliwa kusomwa mpaka Kamati ya kanuni iipitie

  Umesema ni katika makubaliano au ni sheria na katiba? Hueleweki. kwa mujibu wa kanuni gani labda? Au sheria gani?
 13. Anheuser

  Jaji Mkuu aitetea Sheria ya Makosa Mitandao. Adai imetungwa kwa nia njema!

  well, first of all the law criminalizes free expression of opinion. Section 16, for example, imetumika kum arrest mtoto wa Chacha Wangwe ambae ameandika kwenye facebook yake kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika. Kosa hapa ni kwamba kachapisha habari ya uongo, japo hayo ni mawazo yake yeye...
 14. Anheuser

  Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

  acha kamba wewe. Marekani gani umekaa hakuna live coverage of congress? Heard of C-Span? Brilliant. Kwa nini sisi tusiwe mfano? Umeongezea yaliyosemwa na upinzani February 1st kuhusu kuiga iga mifano potofu. Kuna lightweight mmoja wa C.C.M. alisema mbona Sri Lanka hakuna live coverage!? Sugu...
Top Bottom