Nenda Tabora,kwani ni karibu na mikoa ya jirani.Namaanisha ukitaka kwenda Shinyanga, Mwanza au singida.Hata Dar ni safari ya siku moja.Kigoma tatizo umbali,ukiingia umeingia.Ukiwa na safari ya Dar ni siku mbili.Mwanza siku nzima.Kama ndio unasafiri kwa basi ndio utaipata fresh,tope kipindi cha...