Recent content by Angel Simeon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Unene wa mke wangu unamuweka matatani

    Ni unene wa kula, kilo 2 za kitimoto kila siku si mchezo, mwambie afanye mazoezi aache ubishi, apunguze kula sana.
  2. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Mungu ampuzishe kwa Aman.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

    Anaepetipeti, anaweza kukupa maneno ya mahaba tu mpaka ukajikuta haupo tena kwenye balance.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wiki ya pili Abdala hasimami baada ya kutembea na mke wa mtu, haja ndogo inatoka rangi mbalimbali

    Uzinzi sio mzuri, amfate mme wa yule dada aombe msamaha.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Samahani mke wangu

    Michepuko wapo kukuharibia ndoa yako, mrudie mkeo na watoto, muombe mungu akusaidie.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hujibinua wakati wa kupiga picha?

    Style ya mtu anavyotaka mwenyewe, sio nani amuone.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

    Mwanaume akitoka nje ya ndoa kuna sababu, wengine hulazimishwa na wake zao, kwa sababu wengine hunyimwa haki zao za ndoa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume?

    Unatutia aibu mwanamke mwenzetu, utakaa kutegemea kuhongwa hadi lini? Nguvu unayo, fanya kazi kula kwa jasho lako, vya bule vyaumiza.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela ya kusukia

    Umelianzisha mwenyeweeee, komaa kaka.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa katika maisha

    Yeah Mungu ndo kila kitu, katika maisha.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, baba wadogo hawataki nisome wanataka niolewe

    Mshirikishe mungu kwa yote, hakuna lisilo wezekana kwake, elimu ndo kila kitu,baba wadogo wasikuharibie maisha.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Leo yamenikuta mwenzenu, mke wangu kajua nawasiliana na mpenzi wa zamani

    Mmmmmm makubwa, mchepuko sio diri.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini siwezi kumwambia hisia zangu

    Vunja ukimyaaaaaaa bro.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sipati haki yangu ya ndoa, tokea mke hajajifungua hadi sasa

    Jitathimin wewe mwenyewe labda wewe ndo umekua chanzo cha aya yote, na njia nyingine washirikishe wazazi wa pande zote mbili, na ata wazazi wa kiroho.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi sita watimuliwa shuleni baada ya kukutwa kwenye danguro wakifanya ngono

    Ni kweli wameongeza tatizo, pasipo kutatua tatizo.
Back
Top Bottom