Recent content by anganga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    Hujui kinachoendelea wewe
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    Unahc utapata uteuzi eee? Kwa kujikomna huku unadhani ht mteuzi atakuteuaa? Wakuu wa idara utawajua tuu!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    Wakuu wa idara utawajua tu!
  4. A

    JamiiForums Tanzania At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

    Wee jamaa umeua
  5. A

    JamiiForums Tanzania CNG kuwaangamiza waarabu, Tanzania yalamba bingo nzito gesi asilia toka kusini

    Andiko lako limekaa powa sana. Ila nasikitika waTz wengi sio mambo wanayoweza kufuatilia sna issue kama hiz. Apo ungeandika.kuhusu Piere liquid au siasa au mpira au udaku wowote ungeona nyuzi imeshehen ma likes na makoment yakumwaga.
  6. A

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila wakati najihisi kama mtu mwenye homa

    Kuna tiba yake?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Unauhakika na unachokiongea? Nenda maeneo wanakolimaizo korosho alafu uongee hayo maneno uine kama utarudi na ilo koromeo lako
  8. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi mjiandae kisaikolojia

    Kuna sehem pia jamaa kasema wamelipwa mara ya mwisho mwezi wa Disemba 2018. Ni wa halmashaur.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    Umeniongelea mimi kabisa yani. Na kama ni hivo hawa introvert wamegawanyika. Mimi nahisi nipo katikati. Yaan nikiwa na rafiki basi anakua ndio huyohuyo na ni ngum kupata rafik mpya au kwa haraka. Ingawa sijitengi sana ila huwa napenda kuwa sehem tulivu mara zote hta mpira sipendagi kuangalia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mateka wa malkia kila anapohutubia bunge Uingereza!.

    Huku tungeyafanya hayo wangetuambia tunakiuka haki za kibinadamu. Wangetufosi hadi tungekuwa tushaibadilisha sheria hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya taasisi na mashirika ya umma ajira zao hazipitii Sekretariet ya Utumishi?

    Suluhisho ni kizifanya taasisisi zote na mashirika yote na kazi zote ziwe na ujira mzur na unaolingana kwa level flan ya elimu. Haya mambo ktk hiz taasisi ynaweza kupungua. Unakuta jamaa mmesota wote dawat moja na kakupga sna chabo, ushamuonesha sna solving zako. Mnamaliza chuo Alafu wewe...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

    Safi. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbona Manyika jana hakuwepo Surrender bridge

    Wengne hata barua ya kuomba kazi wanaomba msaada wa kuandikiwa. Nmewashuhudia wengi tu. Yaani ni majanga.
Back
Top Bottom