Recent content by Aneth Anton

  1. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania Mdude hana sifa za uongozi, hafai kuwa mwenyekiti wa Bavicha, abaki kuwa mwanaharakati tu

    Hao ni makokolo na wengine misukule.
  2. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Niko mbioni kuanza mazungumzo na Jumuiya za Kimataifa ili kupambana na utawala wa Rais Magufuli

    Atakaye jaribu awe tayari ametoa mirathi,ameaga na kuomba dua,maana kipigo chake hutakaa ukisahau,kenge weeee
  3. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche kahujumiwa na chama chake CHADEMA

    Brother ukitekwa usiseme watu wasiojulikana.Nadhani Mbowe unamjua vizuri utashughulikiwa barabara.
  4. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

    Kwani watashiriki? Si wagomee tena?
  5. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha makato ya bima ya afya kwa wafanyakazi kutoka 3% mpaka 6% Januari 2020

    Kama hamna hakika kaeni kimya,mtumishi anakatwa 3% ya mshahara wake,na 3% anachangiwa na mwajiri wake,so acheni kuwa kama nguruweni
  6. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwakabanje ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Tunduma atengenezewa kesi ya mauaji

    Police wako kazini inawezekana wanamtuhumu kwa njia zao za kiintelejensia sasa wewe unalalamika una shahidi gani kwamba sio yeye?
  7. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania GE2020 Poleni wapinzani

    Duniani kuna njia 3 tu za kutwaa uongozi wa taifa. Njia ya kwanza ni ya mazungumzo. Njia hii mfano mzuri ni Mwalimu Nyerere. Aliitumia akatwaa uongozi wa Taifa. Ni njia ngumu mno inayohitaji kipaji cha kupanga hoja (power of thinking and analyzing), kuongea (power of oratory), ushawishi...
  8. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Umeumia pole sana,hiyo ndio siasa,politics is a game of chance, ukizubaa unaliwa
  9. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Sina idadi ila wameshinda
  10. Aneth Anton

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Niambie jinga
Back
Top Bottom