Boniface Mwakabanje ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Tunduma atengenezewa kesi ya mauaji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,671
218,174
FB_IMG_1574770261619.jpg

Polisi wa Mkoa wa Songwe wanaendelea na kibarua cha kuitumikia CCM kwa udi na uvumba, sisi kama raia mabwege tunaendelea kuweka rekodi.

Mwakabanje anatungiwa uongo wa eti kutaka kumuua diwani wa CCM

Angalizo: Hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Nini tenna kimetokea?
Ila ni vizuri wananchi wakawa makini na hili genge la ccm linalotumiwa kuwanyanyasa wananchi.
Pia ni vizuri vyama pinzani waka makini maana utaratibu au mpango uliopo ni kuakikisha wanaswekwa ndani ili wawe wanahudhuria mahakani kwa kipindi cha mwaka mzima na ikifika 2020 wawe wamekata tamaa na wasigombee tena. Ili ahadi ya mkuu kuwa ifikaipo 2020 hapatakuwepo na chama pinzani
 
mbona unakurupuka bila kutoa maelezo ya kueleweka.
wanasiasa nao ni binadamu wa kawaida na sio ajabu kujikuta katika matatizo ya kiuhalifu aidha kwa maksudi au bila kukusudia.

wewe mleta mada umekurupuka na one sided story mpaka tumeshindwa kuelewa.
jipange urudi na maelezo ya kueleweka.
 
umewahi kusikia mwanaccm kapewa kesi kama hii
 
Mkuu acha kulialia eleza kimetokea nini!!?
Diwani wa viti maalumu wa ccm ajulikanaye kwa jina la Mwavilenga (mwauongo) alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana, cha ajabu usiku huo huo police walivamia makazi ya Mwakabanje tena kwa kuruka ukuta na kumkamata.

Sasa swali tunalojiuliza wananchi je police walikua wanaona kinachoendelea usiku hadi kwenda kumkamata Mwakabanje usiku huo huo?

Kwa kifupi police wameacha kufanya kazi yao kwa weledi sasa wanafanya kazi kisiasa kwa maelekezo ya wanasiasa (ccm) hii ni aibu kwa taifa.
 
Police wako kazini inawezekana wanamtuhumu kwa njia zao za kiintelejensia sasa wewe unalalamika una shahidi gani kwamba sio yeye?
 
Diwani wa viti maalumu wa ccm ajulikanaye kwa jina la Mwavilenga (mwauongo) alipigwa risasi usiku na watu wasiojulikana, cha ajabu usiku huo huo police walivamia makazi ya Mwakabanje tena kwa kuruka ukuta na kumkamata.

Sasa swali tunalojiuliza wananchi je police walikua wanaona kinachoendelea usiku hadi kwenda kumkamata Mwakabanje usiku huo huo?

Kwa kifupi police wameacha kufanya kazi yao kwa weledi sasa wanafanya kazi kisiasa kwa maelekezo ya wanasiasa (ccm) hii ni aibu kwa taifa.
Kila anayetumikishwa atalipwa tu
 
Kama ameuwa acha anyee ndoo ,mnatetea hadi wauwaji

Eti ametengezewa kesi kwa nini usiwe wewe

State agent
 
View attachment 1273261

Polisi wa Mkoa wa Songwe wanaendelea na kibarua cha kuitumikia CCM kwa udi na uvumba, sisi kama raia mabwege tunaendelea kuweka rekodi.

Mwakabanje anatungiwa uongo wa eti kutaka kumuua diwani wa CCM

Angalizo: Hakuna marefu yasiyo na ncha
Habari mhimu kama hizi uwe unaandika kiweledi zaidi ili watu tofauti waelewe,

Jukwaa hili linapitiwa na watu wengi wa aina tofauti tofauti.
 
View attachment 1273261

Polisi wa Mkoa wa Songwe wanaendelea na kibarua cha kuitumikia CCM kwa udi na uvumba, sisi kama raia mabwege tunaendelea kuweka rekodi.

Mwakabanje anatungiwa uongo wa eti kutaka kumuua diwani wa CCM

Angalizo: Hakuna marefu yasiyo na ncha
Hebu tulia acha wenge, tuambie vizuri, mazingira yenyewe yalikuaje mmh, hizi paparapupa huwa hazijengi
 
Back
Top Bottom