Nami nashukuru sana kwa uzi huu hasa mzee Kilangi masanja ambao umenipelekea na mimi kuvutiwa na hizi simu na jana nimepokea simu yangu ya redmi note 4 4gb ram 64 GB ROM (thanks to Mwl.RCT) baada ya wiki kama tatu hivi baada ya kuagiza maana niko mbali kidogo,sasa nami naomba mnipe maujanja...
Duh,kwa hiyo hapo hamna namna nyingine ya ku-trick enhee? mi kuna site nimeona wanalipa kila unapo-download na ku-install toolbar yao sasa nikaona kama ni hivyo siwezi kuwa na-download alafu na unistall kisha nabadili IP adress then na-download hivyo hivyo mara kadhaa kwa siku alafu naingiza...
Habari zenu wadau,mi nina wazo (pengine ntakuwa nakosea maana sijabobea kwenye mambo ya IT).
Kwa mfano mtu ukiwa na blog na tuseme google adsense (pengine na mitandao mingine kama ipo) wanakulipa kulingana na watazamaji watakavyokuwa wengi kwenye blog au website yako,sasa je siwezi kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.