Recent content by Andykapaya

  1. A

    Kilimo cha mkonge: Upandaji, matunzo na masoko

    Maoni yangu, kwa sasa uzalishaji wa mkonge upo around 30% ya uzalishaji wa miaka ya uhuru. Uzalishaji mpk 2013 dunia nzima ilikuwa inazalisha kiasi kisichofikia kile cha Tz miaka ya 60. Pia wazalishaji wengine wa Barani america ya kusini na Asia uzalishaji umepungua. Mojawapo ya kilichoathiri...
  2. A

    Kilimo cha mkonge: Upandaji, matunzo na masoko

    Kuna mtu namfahamu alikuwa na kitalu Morogoro ila mbegu yake bei ilikuwa kwenye around 250Tsh. Japo ukienda kununua suckers unaweza kununua kati ya 30-50. Ni muhimu kujielimisha kuhusu mbegu a kufanya maamuzi kama uchukue suckers au ya kitalu. Kuhusu Korogwe, najua yapo yaliyokuwa yanakodishwa...
  3. A

    Kilimo cha mkonge: Upandaji, matunzo na masoko

    Lugongo iko wilaya ya Mkinga
  4. A

    Kwani ukipima HIV ukakuta negative ndo kusema hapo mko salama?

    sahihi kabisa, japo muongozo wa upimaji retesting ni 1 month au 12 months kama hana risk. Isipokuwa kwa wajawazito
  5. A

    Umewahi kuuza mechi kwa mgonjwa wa HIV bila kujua?

    Nadhani hujajielimisha kuhusu HIV au umezaliwa miaka ya 2000+. Kwa aliyewaona wagonjwa miaka ya mwishoni mwa 80 kuja mpk mwanzoni mwa 2000 hawezi kusema HIV ni over rated. Ni ajira kwa NGO, yes! na matokeo mpk ukaona uko overrated ni jitihada za serikali na NGO. Kwa sasa HIV inaelekea kwenye...
  6. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    Asante kwa guidance, Nakubaliana na wewe, mkonge wengi tunaangalia mapato ghafi bila kujua kuwa kuna gharama mpk kufikia hilo pato. Kwa maeneo mengi Tanga kuzalisha tani 1 inaweza kugharimu 1.2-1.8M kutegemea ukubwa wa mkonge (meta ngap zinazalisha tani), usafiri mpk kwenye korona, gharama za...
  7. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    Korogwe ni kuzuri zaidi. Japo factor nyongine km upatikanaji wa Ardhi, umbali kufika maeneo ya uchakataji na wanunuzi. Japo kwanza lazima uchague sehemu itakayokuwezesha kusimamia shamba lako. Mkonge mwanzoni unahitaji kutunzwa vizuri. Hivyo usipoweza kusomamia shamba litaathirika. Kuna maeneo...
  8. A

    Business Plan

    Nitakutafuta!
  9. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    Kima, Nyani wote wanaharibu mkonge kwa kuvunja kile kiini cha mkonge na kukifyonza. Hawa mara nyingi wanaonea mkonge uliochini ya miaka 2. Tembo wanafanya hivyo kwa mkonge uliovuka mwaka na kuendelea
  10. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    Nadhani ni wastani! Inategemea na aina ya mbegu uliyopanda. Km ni maotea unaweza kuishia hata miaka 8 na wanasema ukipanda mbegu bora zinaweza kwenda mpk miaka 15
  11. A

    Kilimo na Masoko ya mkonge

    Asante sana! upo wapi ningependa kujifunza kwako mkuu
  12. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    Asante sana kwa uzi na mchanganuo, japo kuna baadhi ya vitu havijawekwa au gharama si halisia. 1. Gharama ya ardhi roughly kuanzia 200k, inategemea na wilaya/eneo 2. Gharama za kufyeka, kuchoma na kusafisha shamba na kung’oa visiki kwa eneo nilipo inaweza kufika hata 400k 3. Gharama ya kupima...
  13. A

    Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

    Vp ndugu, mteja ulipata? na unalima wap kwa maeneo ya Tanga. Mm nipo Tanga na nilitamani kulima hilo zao pia
  14. A

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Naomba kuunganishwa kwani link inagoma kufungua. 0752821032
Back
Top Bottom