unahitaji digital camera..
megapixel 10.1
zoom 3*
memory card 1gb
aina. GE
Bei yake laki 50 kwasababu
betri utanunua mwenyewe..
ukichelewa leo hupati tena..
0713133633
Siku 4 tu zimepita tangu azikwe msanii na nguli wa filamu hapa bongo Steven Charles Kanumba, sasa magazeti ya udaku hapa Dar tena yale ya Shigongo yamekuja na taswira ambayo ni mbaya na ya kumkejeli marehemu mpendwa wetu Steven Kanumba.
Gazeti la Risasi la leo tarehe 14 limepambwa na picha...
Ipo Ilala,
iko barabarani kabisaa,
nyumba kubwa inavyumba 6 na vyumba vya uani 5..
Na eneo linabaki.
Bei milioni 500 bei inapungua,
mawasiliano..
0713133633
inapatikana tabata bima opposite na st.mary.
ni self container yenye vyumba 4,
unaweza paki gari hata 5,
ina uzio mkubwa na bado mpyaaaa,
bei yake ni sh. laki 4 na unalipia miezi kuanzia 6.
haina dalali.
0713133633
dah kaka nikupe kwanza pole kwani imeshagombaniwa kama njugu vile..
yenyewe ni 2.5 ft screen siyo ya ku slide.
internal battery inakaa muda mrefu zaidi.
imeshauzwa tayari, sory man
haina tatizo hata 1 na mimi nauzia shida mwana, si unajua kitu cha kupewa kinavyotakiwa ukithamini? naipenda sana lakin matatizo ndio yamenifanya niuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.