Natafuta nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tanganyika50, Apr 16, 2012.

 1. T

  Tanganyika50 Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Heshima kwenu wakuu,
  Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara,sinza,tabata au magomeni.Nyumba iwe na bedroom 1 preferably self contained,sebule na kajiko.Privacy ni muhimu.budget yangu ni 200,000/= pm miezi sita.
  Mwenye nayo naomba ani PM tafadhali.
   
 2. a

  andy mchokozi Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipo tbt lakin kwa sh. laki 350 na inaanzia miez 6
   
 3. S

  SI unit JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kimara Suca pande za golan. Ipo ndani ya fence, niPM
   
 4. m

  missilicious Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hujaelewa nini sasa wakati ameweka hadi kiasi anachotaka. Ndio maana mnafeli mitihani
   
Loading...