Nyumba inauzwa katikati ya Dar kwa bei cheee. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa katikati ya Dar kwa bei cheee.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by andy mchokozi, Apr 13, 2012.

 1. a

  andy mchokozi Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo Ilala,
  iko barabarani kabisaa,
  nyumba kubwa inavyumba 6 na vyumba vya uani 5..
  Na eneo linabaki.
  Bei milioni 500 bei inapungua,
  mawasiliano..
  0713133633
   
 2. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Hiyo ndio bei chee we vp bana, na maisha haya ya msoga ?
   
 3. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kama vp dondosha picha preferably 3D
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weka picha ilala kubwa be specific,mtaa gani? Ilala ipi,boma? Sharif shamba? Mtaa upi wa kigoma,moshi au?
   
 5. a

  andy mchokozi Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kama uko seriaz
  ni Pm ntakuelekeza hadi mtaa na hata picha c unajua madalali wengi.
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kumbe 500m ni bei chee!!???
   
 7. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kama hii ndio bei chee basi tunapoenda ni kugumu na kwa mishahara yetu tutabakia tu kupanga
   
 8. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hyo ni bei chee kivip? Bei chee kwa mafisadi? Au bei chee kwa walalahoi? Au umekosea kuandika hzo tarakimu? Hivi wewe kwa kipato cha Mtanzania wa kawaida hyo inaweza kuwa bei chee kweli??
   
 9. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hata tukikusanya mapato ya ukoo mzima kwa mwaka hivyo vijisenti hatupati... Mweee !
   
 10. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hili nijukwaa la siasa matangazo ya biashara yanahusika vip?kua naakili usitualibie heshima zetu nisawa na kulia wali choon badala ya sebulen achaga ujinga wa kutupotezea muda wambie nawajinga wenzio mwende kwenyematangazozo ya biashara usirudie mbafu sana
   
Loading...