digital, digital camera bei sawa na bure..

andy mchokozi

Member
Jan 25, 2012
42
5
unahitaji digital camera..
megapixel 10.1
zoom 3*
memory card 1gb
aina. GE
Bei yake laki 50 kwasababu
betri utanunua mwenyewe..
ukichelewa leo hupati tena..
0713133633
 
Mkuu pitia ulichokiandika maanake hueleweki laki 50.Duu sijui ni shilingi ngapi za kitanzania
 
jamani tubadilike hvi kweli unashindwa kujua laki 50,
haya ni,
150,000
umelizika mkuu

Usiwe mkali kaka, brand yenyewe unayouza wako nyuma sana katika masuala ya camera! na lugha unayotumia ni lugha ya vijana wakati kuna wazee humu, sasa unapokuwa challenged unakuwa mkali inakuwa haina maana! Anyways karibu JF!
 
jamani tubadilike hvi kweli unashindwa kujua laki 50,
haya ni,
150,000
umelizika mkuu

duuu nimeaamini shule za kata zinachakachua elimu yetu, mimi sikumbuki kama nimewahi soma mahala Laki 50 = 150000

anywai shule gani hiyo uliyosomea.
 
Usiwe mkali kaka, brand yenyewe unayouza wako nyuma sana katika masuala ya camera! na lugha unayotumia ni lugha ya vijana wakati kuna wazee humu, sasa unapokuwa challenged unakuwa mkali inakuwa haina maana! Anyways karibu JF!

kaka umenisoma vibaya,nimeteleza kidogo kwakuwa natumia cmu anyway sijaanza kutoa thread leo
 
unahitaji digital camera..
megapixel 10.1
zoom 3*
memory card 1gb
aina. GE
Bei yake laki 50 kwasababu
betri utanunua mwenyewe..
ukichelewa leo hupati tena..
0713133633
Ndugu yawezekana unaiuza hiyo Camera kwasababu Bettry zake hazipatikani,na kama zinapatikana nijulishe
zinapatikana wapi na bei yake ili tufanye biashara,pia ningekushauri uweke picha yake au model number yake ili iuzike kirahisi.
 
Back
Top Bottom