Nunua hyo gari hutojutia,mm ninayo now n mwaka wa pili,wengi hapa Tz wanaamin Toyota ndo gari nzuri,kisa tu spare za magumashi zko nying na bei chee,Subaru kwang n best car kuanzia consumption ya mafuta,comfortability,stability na uchanganyaji wake,tunaiita "SUBIE NATION,COMFIDENCE IN MOTION"