Nafikiri ni kile kitendo chake Cha kukemea uovu, kuhimiza wananchi kudai katiba mpya na kutaka kujiweka tofauti na sera na mikakati ya utawala uliopo, ni kama vile alikuwa makamu wa rais kutoka katika chama tofauti na ccm jinsi alivyokuwa katika mienendo na matamko yake
Kama ile kauli inayosema pata pesa tujue tabia yako basi Kuna hii pia ya pata madaraka tuijue tabia yako, madaraka yalivyomkolea hakuweza tena kuficha uhalisia wake, ndiyo kilichotokea
Una hoja usikilizwe, ni bora kutoza fare ambayo ni affordable ukapata customer wa kutosha in the long run kuliko kuwa na fare kubwa ambayo inasababisha kukosa wateja na kuwa na soko gumu, nakumbuka kipindi Cha fastjet walikuwa wanatoza affordable fare kwa route zao na walikuwa na wateja wengi...
Kama ilivyo Kuna mabadiliko ya sayansi na teknolojia vile vile Kuna mabadiliko hata kwa zile traditional conservative country au hata family zilizokuwa zikishikilia dini na kuzifanya kuwa miongozo ya maisha yao ya kila siku, wengi wameanza kulegeza au kuacha kufuata zile taratibu kali za kidini...
Kumbe, kwahiyo Wana macho kama ya paka katika kujua kama huko mbeleni utatusua au utaendelea kuwa mbabaishaji? kwahiyo kiufupi kwao hapendwi mtu inapendwa account yake? Inamaana huwezi kupata mapenzi ya dhati kwa mwanamke wa kichaga kama account haisomi? Ijapokuwa naamini watakuwepo wanawake wa...
Matajiri wengi wakubwa hawapendagi show off na kutrend mitandaoni ndiyo maana, chivayo Ali trend na ile staili yake ya kutembelea ikulu za mataifa kadhaa na kujiegesha atakavyo kwenye makochi ya ikulu za nchi hizo mpaka tukahisi atakuwa siyo tajiri wa kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.