Recent content by Andrew john

  1. Andrew john

    Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

    Nyie wanaume ambao hamtaki kuchepuka mna shida Sana Kwa kweli. Ungekuwa na mchepuko wala usingelalamika
  2. Andrew john

    Kwanini Hayati Magufuli aliwapunguzia mishahara watumishi wa TMAA?

    Mzee ni kama alikuwa na hasira zake na watu binafsi akaamua kuwaangamiza wengi, mama akiona inafaa atawakumbuka maana hawakuwa na kosa lolote kupunguziwa mishahara Yao.
  3. Andrew john

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Uamuzi WA kiume zaidi. Kama anampenda huyo boya wake asepe akaishi nae, ndezi mkubwa
  4. Andrew john

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni mwishoni MWA mwaka Jana siku ya jumapili nikiwa natokea Moro kuja Dom,. Kawaida kuna washkaji tunakuwaga tunakutana jioni Kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Nikawapigia simu kujua location waliyopo, wakanijuza, nikasogea. Nikawakuta wako na warembo wawili wakila bia. Kati ya Wale walembo...
  5. Andrew john

    Hataki kuachana na ex wake

    Kwa upande wangu ningempa makofi na kipigo then nachukua simu yake. Pumbavu
  6. Andrew john

    Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Msiba kakupa evidence ipi ndugu yangu kuhusu magaidi aliyowataja???. Huoni kama wote anaowataja ni kama ni adui wa chama tawala
  7. Andrew john

    Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Ila nchi hii kuna watu wanatetewa na wengine wanaonewa. Huyu jamaa kwa taarifa hizi angekuwa wale wanaonewa walahi angekamatwa atoe ushahidi huo na onyeshe yote hayo. Ila nashindwa kuelewa iweje huyu ajue yote haya na intelijensia ya nchi isijue. Hivi wale watu hatari wa nchi mwisho wake umekuwaje.
  8. Andrew john

    Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU)

    Fine unasema wazungu si wema. Haya madeni ya trllion 46.08 nani katoa hizo pesa??? Katoa katibu wa ccm au nani???
  9. Andrew john

    Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

    Hivi demiss yupo???
  10. Andrew john

    Philipo Mwakibinga wa WARAMI awajibu maaskofu wa KKKT; adai wanatumiwa na CHADEMA

    Mbona CCM wanahaha sana kwani kilichosemwa ni uongo au ukweli???
  11. Andrew john

    Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Mnaweweseka bure wakati issue ni kusolve yaliyosemwa
  12. Andrew john

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Mungu ni mwema na taratibu utukufu wake utaoekana ingekuwa heri yao wakasikia ujumbe wa Mungu na kutenda yaliyo mema
Back
Top Bottom