Recent content by Andrew Goldberg

  1. Andrew Goldberg

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Medical doctor sex: Male experience : 2 years Looking for part time job dodoma
  2. Andrew Goldberg

    Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

    Nakumbuka mwaka jana nlitoka out na mdada nliekua nikimtamani siku nyingi, ila cha kushangaza toka tunakutana cha kwanza ananiambia yupo period, nikasema sawa mm nia yangu ni tujuane tu, tumeenda restaurant moja agiza msosi, story toka tumekaa mpaka tunasepa ni anaongelea period yake, mara damu...
  3. Andrew Goldberg

    Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

    acha tu, mpaka leo nikikumbuka inauma sema ndo life Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  4. Andrew Goldberg

    Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

    interview yangu ya kwanza ilikua kwenye NGO , tulikua watu watano na walitaka watu watatu, nilikua najuana na watu watatu kati ya hao tano, na ndo tuliopita after 3 days tukapewa hadi job offer letters, wakasema watatuambia lini tukareport kazini, tulikaa miezi na miezi tukajasikia tu mbona watu...
  5. Andrew Goldberg

    Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    subiria mkeka wa wizara, unaweza toboa, ingawa haujulikani unatoka lini. Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  6. Andrew Goldberg

    Tatizo lolote la PC/device

    Sidhani kama wame irelease full, ila ukiwa na windows 10, na kama your laptop ina meet requirements, ukiiupdate unatoka windows 10 to 11 automatically Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  7. Andrew Goldberg

    Marvel Cinematic Universe special thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ngoja tusubirie ndoa yao, maana kwenye comics ndo wameoana wale itakua balaa Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  8. Andrew Goldberg

    Msaada kwa mwenye ufahamu wa shirika la kimataifa la ICAP Global Health

    Nilishawahi itwa kwenye interview yao, niliombaga kazi Feb nikaja itwa March mwishoni kwa ajili ya interview. Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  9. Andrew Goldberg

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Sema Stephen aliumia sana pale kwa Christian in every universe jamaa anahangaika kumpata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  10. Andrew Goldberg

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    nimefanya hivi, ila bado uki click pale kwenye personal details inakataa kuingia
  11. Andrew Goldberg

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Hii systems yao bado ni changamoto, kila niki refresh inaleta picha za watu wengine, na details zao, nime upload kila kitu, ila hakionekani toka jana mpaka sasa.
  12. Andrew Goldberg

    Shingo ya mtoto kulegea

    Kama alizaliwa without any complications hapa meaning kwamba alilia immediately after kuzaliwa, basi mtoto wako yupo in a normal developmental milestone, usiogope.
  13. Andrew Goldberg

    Naomba kujuzwa Hospital nzuri ya kujifungulia Dodoma

    Kama unatumia bima nenda ntyuka dcmc.
Back
Top Bottom