Recent content by andrea.comtomani

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

    Nawaombeni msichoke kunisaidia wakubwa haliyangu nimbaya kiafya. Hata sasiv nimetoka haja ila bado choo kinatoka na dam. Hasa ninapojikamua ndipo matone huwa mengi na maumivu yakiuno yanaongezeka wakuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

    Nilienda hsptal pale sahara posit namaduka yasim. Wakanipima choo, dam na mkojo. Majibu ninahoma yamatumbo, na mkojo mchafu. Ila nililipishwa garama kubwasana vipimo 39000, dawa 117000. wamenipa dawanyingi. Aina ya clarithromycin, methonichzil, domperel, na silde. Ila hakuna unafuu kabisa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

    Asante mku. ila nifanyeje ilhali natumia dozi? Kwan naweza kupimwa huku nameza dawa?
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    Mkuu ndege inapokaribia runway inakua na spidi ndogosana. Je mbona haidondoki? Kwan kunapost imeongelea ili ndege ielee angani inahitaji kasi fulani na ikipungua ndege inaweza kudondoka. Hapo naomba ufafanuzi zaidi
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    Mku ndege inapokaribia kugusa runway huwa inaenda taratibu sana. Je mbona haidondoki? Kwan kunapost imesema ilindege ielee angani inahitaji spidi flani. Na endapo itapungua ndege itadondoka. Naomba ufafanuzi zaidi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

    Nipo nyegezi mwanza
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

    Nipo mwanza nyegezi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

    Wakristo bwana asifiwe, Waislam salam alehkum. Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaonisaidia kimawazo na kitaalam. Ninahakika kwatatizo langu huku litapata ufumbuzi kwani kuna madaktari wenyeujuzi uliotukaka hapa Jamii forum. Ninasumbuliwa natumbo jamani. Linajaa gesi sana na linanguruma...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Namtumbo, mtetesi, nakapanya, mvekenyere mandaea, mkutingome, nyegezi
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za mwanaume kumwangalia mwanamke kwa nyuma

    Africa bambataa mkuu. Mzigo ndo mpango mzima. Tena nifahari yamachoyetu wanaume. Ndomaana tunageuka kuyatendea haki machoyetu kikamilifu
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joto la mapenzi

    Mkuu tutirirshie huo uhondo.
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Wewe endeleza ifekiwako hadi shetani akutiemoyo wakuwafanya waumini wako kile alichokitenda kibwetere
  13. A

    JamiiForums Tanzania Cybercrimes: Mfanyabiashara kizimbani kwa kuwasifia majambazi waliopora Sitakishari

    Kukosa uzalendo kumemfikisha alipo. Tujifunze kupitia kwake
Back
Top Bottom