Recent content by Andras Mahenge

  1. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, Shujaa Mahiri Anayekiuka Kanuni za Chama

    Ndugu zangu watanzania mimi naona mijadala ya Lema na ZzK kiasi kwamba kila heading ya leo ni Lema na Zito nadhani ifike wakati muwe na mitazamo tofauti kuhusiana na ugomvi baina yao hawa ni viongozi kiuhalisia ni kama wote wamekiuka taratibu za chama hivyo tungewashauri warudi kwenye vikao vya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli inawezekana mkutano wa Jangwani kutumia 700,000,000miln

    hawa jamaa ndio wapo kitengo cha upotoshaji cha lumumba,aiseee wanahangaika vibaya mno... Nayo njaa mbaya.... Inamtoa mtu ufahamu kabisa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awapiku kwa kasi vijana wenzake kuelekea urais

    hakuna gazeti la hovyo hovyo kama la tazama la jumannne sijaona habari iliyoandikwa ila maslai ya taifa,Mwigulu kuwa raisi huu ni kuudhalilisha urais gazeti mada zake nyingi ni za unafiki dhidi ya wapinzani maana hamna cha maana, zamani nilipokuwa nasoma gazeti hili kuhusu mambo ya dini na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Dr. Slaa na Africa Now - Sikiliza na Uamue Mwenyewe

    kweli huyu mzee ni jembe na amejibu maswali Kwa ufasaha kabisa. ndugu yet kule idhaa ya kiswahili hata audio hatujawekewa wakati alikuwa kwenye TV ila najua ni pumba tu alizoongea ndio maana tunaandikiwa tu porojo big up Dr. Wa Ukweli..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kinana, Masele na Nape wapokelewa kifalme Nyamongo, Tarime

    shame on you Kinana and Nape but take note that' Problems can not be solved by the same level of thinking that created them' you guys you're tired and this your fault.....!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba kutikisa Marekani na Uingereza mwezi mzima

    Broo wewe tulia huyu anaenda kupiga misele tu hakuna cha kueneza chama wala msaada maana hata misaada ya nchi za magharibi ili upate lazima uonyeshwe ukuta na ukiushika ndio kushiney tena chadema ni zaidi ya waifikiriavyo hatukati tamaa uhuru upo..!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ugaidi wa CHADEMA watoka wasimulia walivyolazimishwa kusema

    Poleni sana makamandaz Mungu yuko pamoja na watenda haki ukweli utajulikana tuu..!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wenje na Kiwia siku zenu zinahesabika mwanza,kaeni mkao wa kujisepesha

    umetumwa uuwahesabie siku ..ehee.!zimebaki ngapi...?Magamba bwana roho mbaya kweli udenda unakutoka..!subri uchaguzi ujinyonge...!pole baba....!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lema na Mwingulu wapo live kwenye live talk VOA

    Tupeni update maana tumekatiwa mitambo huku sumbawanga
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jicho letu ndani ya habari-STAR TV

    Lakini tuongee ukweli, kwani ni uongo cuf hawako kwenye mlengo wa kiliberali, maana waling'aka bungeni, kubalini yaishe mnakataa wakati ujumbe umefika..daah...!wenje... Rahaaaaaa......!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Njombe hakuna nafasi ya upinzani

    Yani siku mjinga ni mjinga tu. Umeandika nini tena...! Maana njombe naijua sana maana nimezaliwa huko. Na hali huko ni mbaya sana, watu ni masikini mno, wameporwa ardhi yao na mafisadi, mahospitalini shida tupu, umeme ndio kabisa mkoa mzima vijiji Sita ndio vina umeme,barabara chafu mno na mbaya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Prof Muhongo ni MUONGO au ANATANIA!!

    LAPROFESERI JAMANI TULIENI NDIYO TANZANIA HII 1+1=11 NOT 2 :yell:
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Mimi sitakaa Nikuamini Mzee maana tu nashindwa kukuelewa kaka yangu unamtumikia Mungu yupi uliyetaka kumpa ushahidi...!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

    That's Good keep it up...!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    Uhalisia wa jambo lilizungumziwa na Msigwa ni moja ya mambo ambayo Serikali inapaswa kama sio kuyachunguza au kuyafuatilia maana upuuzwaji wa mambo y'a msingi kuhusiana n'a Rasilimali za Tanzania ni tatizo lingine,Tusiwe washabiki wa vyama,Kama sisi kweli ni watanzania basi tuijali nchi...
Back
Top Bottom