Lema na Mwingulu wapo live kwenye live talk VOA

Lema na Mwingulu wapo live kwenye live talk VOA

Mwigulu anasema waTZ waende mbali zaidi na kuangalia matukio yanayohatarisha amani yetu kama rasilimali, Utalii. Sijui anamaanisha au ni kichaka.
 
Kwanza alianza kwa kudakia swali lisilo lake,baada ya kumkatisha akakata simu na kutoweka hewani!!
 
Mwigulu anasema waTZ waende mbali zaidi na kuangalia matukio yanayohatarisha amani yetu kama rasilimali, Utalii. Sijui anamaanisha au ni kichaka.

Mimi sikubaliani kabisa kwamba wanaousika na usalama wetu wameshindwa. Bado naikubali TISS sema hawa wanasiasa wanataka kututoa kwenye reli.
Hivi rasilimali zimepatikana leo Tanzania? Mbona tuna mbuga na wanyama wengi, mlima kilimanjaro, tumekuwa na madini ya dhahabu na Tanzanite hatujaona hayo mabomu kulipuliwa? Leo hii kugundua gesi na mafuta hiwe nongwa Tanzania? Angalia DRC, Mali na nchi zingine zenye mpasuko kwenye usalama wao ndomaana madini yanaleta vita zisizo hisha.

Lakini Tanzania uwezi shawishi kwamba mafuta na gesi yalete maadui kutoka nje. Hivi tukiunganisha matukio kule Arusha, bomu limetokea kanisani, baada ya muda limetokea tena kwenye mkutano wa siasa kweli hivihivi....mhhhhhhhhh.

Mungu ibariki Tanzania.
 
CCM wana orchestrate ugaidi kisha wanasingizia rasilimali zetu, nchi hii tatizo ni CCM hakuna kingine
 
CCM na Serikali inatakiwa itoe majibu yenye kuridhisha manake wenyewe ndiyo wenye dola.Majeshi yote ya ulinzi na usalama;JWTZ,POLISI,TISS..n.k...Wanapokuja na kauli bila majibu hatuwaelewi!!
 
CCM na Serikali inatakiwa itoe majibu yenye kuridhisha manake wenyewe ndiyo wenye dola.Majeshi yote ya ulinzi na usalama;JWTZ,POLISI,TISS..n.k...Wanapokuja na kauli bila majibu hatuwaelewi!!

vp lema alikuwepo mana nasikia kakimbia huo mdahalo
 
vp lema alikuwepo mana nasikia kakimbia huo mdahalo

Hapana Kibe huu mdahalo ulikuwa ufanyike jana kwa mujibu wa VOA mawasiliano yakasumbua hata mie nilikuwa nafatilia so ikabidi leo wauendeleze,hata hivyo simu ya Mh Lema imetoweka hewani ghafla kutokana na suala la mitandao.
 
vp lema alikuwepo mana nasikia kakimbia huo mdahalo

Lema kutokujibu au kujibu ni hiari.Tofauti na CCM,wao ndio wamekabidhiwa kushika dola,jukumu lao kulinda maisha ya raia na mali zao.CCM kujibu sio hiari ni lazima...
 
Back
Top Bottom