Andras Mahenge
Member
- Aug 22, 2011
- 49
- 7
Tatizo liko wapi, unajua vigezo vya ukuaji uchumi ni Tofauti na Ustawi wa Jamii? Yule Profesa keshasema yeye haongelei porojo kama unazoleta hapa? Economic Growth na Welfare of Society ni Vitu viwili tofauti sio kwa Tanzania ni Dunia nzima ila Kwa kuwa wewe ni bwe.gwe ukatupa kalamu na kurukia ki laptop/PC chako kuwahi kuleta uj.inga wako. Thibitisha kuwa uchumi haukui kwa kiwango hicho, Hata Tafiti za WB na IFM zinasema the same thing, Ukuaji wa Uchumi hauzungumzii Mlo mmoja au kuishi chini ya Dola moja kwa siku hayo hayana uhusiano na Economic Growth, Shule mlipata vyeti badala ya elimu basi walau muwe mnazurura Mtaa GOOGLE mnaweza mkaziba viraka ya u.jinga vilivopo kichwani. Hapo kwenye Red umemlisha maneno Profesa Vipimo vya ukuaji wa uchumi havitumii vipimo vya CENTEMETR.
LAPROFESERI JAMANI TULIENI NDIYO TANZANIA HII 1+1=11 NOT 2 :yell: