Recent content by anarchist

  1. anarchist

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa msanii Omary Omary na imamu wa msikiti ambaye ni baba yake

    OMARY OMARY bwana, Baba yake mzazi alikuwa Shekhe mkubwa tu tena Baba yake alikuwa Imamu wa msikiti Kama unaenda Mikoroshini ukiwa unatokea Magorofani unaenda moja kwa moja mpaka relini. kama unaenda yombo tuseme, relini mbele kuna uwanja mkubwa unaitwa msoga , pembeni yake kuna msikiti Baba...
  2. anarchist

    JamiiForums Tanzania Azam TV kulikoni na Channel ya Russia Today? Ni msimamo wenu kuondoa au ni agizo la Serikali?

    Wakati hapo hapo USA anatumia billions ya dollar kukodisha na kutumia soyuz ya mrusi kwenda kwenye space..kama mrusi cha mtoto mbn huyo mwamba anamtegemea mrusi ili aende kwenye space..
  3. anarchist

    JamiiForums Tanzania Rais Biden: Putin alikosea kufikiri Mataifa ya Magharibi hayatojibu alipoishambulia Ukraine

    Tokea 2014 Putin anawekewa vikwazo tokea alivyovamia ctimea,alivyoingilia uchaguzi wa us alivyowawekea sumu wale majamaa kule Uk.. Sanctions si suala geni kwa Putin gesi za ukraine zitaenda Russia kufidia
  4. anarchist

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

    Hata kikaoni Leo sijamuona ina maana hichi kikao sio muhimu kwake
  5. anarchist

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

    Una uhakika
  6. anarchist

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

    Awali ya yote naomba niwape pole waTanzania wote kwa msiba wa hayati Rais Magufuli. Edward Lowassa ni muda sijamuona hadharani na kwenye msiba huu mzito, waziri mkuu mstaafu huyu alipaswa kuonekana Mwezi wa huzuni sana huu tushikamane waTanzania. ==========
  7. anarchist

    JamiiForums Tanzania Iran yapeleka mafuta tena Venezuela licha ya tisho la marekani

    Sisi inatuhusu nn sasa
  8. anarchist

    JamiiForums Tanzania Iran yapeleka mafuta tena Venezuela licha ya tisho la marekani

    Mbona ume panic
  9. anarchist

    JamiiForums Tanzania Serikali ijifunze kwa hali ya Uchumi - Venezuela

    Acha longo longo USA ndio wameharibu uchumi wa Venezuala kwa vikwazo lukuki na kuwafanya watengwe na dunia baada ya kuona vikwazo havimtoi madarakani wakaamua kumuua. R.I.P El Commandante Hugo Chavez
  10. anarchist

    JamiiForums Tanzania CAG: Elimu bure fedha haziendi, shule zinashindwa kujihudumia kwa vifaa na vitendea kazi. Elimu inadidimia

    hii report ni ya 2018 hadi june 2019..ni ta assad tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. anarchist

    JamiiForums Tanzania Genge la viongozi wa Iran linalovuruga Dunia

    hivi wewe una akili timamu tokea 2003 hadi 2016 iraq ilikuwa chini ya marekani ilitawalika? syria tokea ivurugwe na usa ..isis wakuchukua eneo kubwa la ardhi karibia yote ya syria lkn iran na urusi walivyotia maguu syria ndani ya mwaka mmoja syria ilirudi chini ya asad na isis kukimbilia mbali...
  12. anarchist

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuepuka tatizo la kutokujiamini na kushindwa kujieleza mbele za watu

    nilivyoingia chuo nilikuwa natumia bangi kwaajili ya presentation na ilinisaidia kuperform vizur kwenye kuwasilisha mada mbele ya kadamnasi nilikuwa na overtalking yaani hadi napitiliza ilinisaidia mpaka sasa hv niko poa kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. anarchist

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya wavenezuala "Chavistas" waandamana kuilaani Marekani na kumsapoti Rais Maduro

    ma millioni ya Chavistas wanaounga mkono simon Bolivar revolution na wafuasi watiifu wa Hugo Chavez na mfumo wa socialismo wamejitokeza barabarani kuandamana kumsapoti Raisi Nicolas Maduro anayepitia misukosuko mingi hivi sasa.Chavistas hao walilaani vikali USA chini ya Rais Trump kuingilia...
  14. anarchist

    JamiiForums Tanzania Zitto adai Serikali imekopa kisiri siri pesa za kujenga mradi wa umeme wa mto Rufiji au Stiglers Gorge

    Kwanini rais aseme pesa zote ni zetu za ndani. Huoni tatizo hapo
Back
Top Bottom