haya mamitandao yanatia kichefuchefu! mimi natumia li modem la VODACOM. Yaani kama mtu umebakiza kama 12 MB data bundle halafu ukafungua blog yenye pichapicha kama ya Issa Michuzi .. mb zote zinayayuka kwa mpigo...! Shit.. yaani ili u browse kwa mda mrefu kidogo inabidi uangalie web sites zenye...
Hapo kwenye bold nimecheka sana...! Hilo li disk sijui jiwe tulishaletewa hapa home....eti unalitumbukiza kwenye maji kwa muda halafu hayo maji yanakuwa na nutrients za ajabu....! Mimi binafsi natumia bidhaa za GNLD especially za chakula(foo supplements) na kwa kweli afya inaimarika sana....sasa...
Wanajamvi , nilikukuwa nataka kupata kipato kidogo kwa kutumia Internet lakini bado sijapata wazo zuri la biashara. Nilikuwa naomba kama kuna mtu ana uzoefu au idea nzuri ambayo inaweza kuwa applicable kwa mazingira yetu hapa Tanzania kwa kutumia Internet kupata kipato anisaidie katika hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.