Recent content by Anakuja Yesu

  1. Anakuja Yesu

    Nimejikuta nimeipenda tu hii picha

    Mungu fundiiii
  2. Anakuja Yesu

    Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Hujafanya kosa kuomba msamaha humu japo ni kosa.ulitakiwa uatamie. Mwanamke 1.Ni mlizni 2.Mshauri 3.Mwombezi wa mume na familia. 4.Msimamia ndoto za mume wake 5.Msimamizi wa malengo na majukumu ya familia. ~Tukisema umuache huta weza maana moyo ulisha penda.nakushauri anza...
  3. Anakuja Yesu

    Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    Nakumbuka sana morning glory na evening prayer,nilimtumikia sana Mungu,japokuwa wakati mwingine dunia ilinichukua lkn nlikuwa narud harakaa mno. ~Kusoma,kwakweli nlikuwa mvivu sana napenda kusoma kwa discussion lkn pekeangu nlikuwa sisomi.naona ndio sababu iliyonifanya nimtafute sana Yesu
  4. Anakuja Yesu

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Hapa sita weza nitamkosea Roho wa Mungu maana tayari watu wameanza kutudhihaki na mm kama mwanadamu nitapanic
  5. Anakuja Yesu

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Basi huna nia ya kujua,kaka mimi siwezi kubishana na ww,NAMUHESHIMU SANA ROHO MTAKATIFU,
  6. Anakuja Yesu

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Nimeokoka na naitumia sana hiyo lugha.natamani kukuelekeza saana lkn nidarasa pia hapa sita weza
  7. Anakuja Yesu

    Huu ni Mkono tu, wa mtoto wa KITANGA... Ukiona mguu si ndiyo utadata?

    [emoji23] [emoji23] Mungu watu ulio waumba hawa unawaweza mwenyewe umenifurahisha mkuu
  8. Anakuja Yesu

    Huu ni Mkono tu, wa mtoto wa KITANGA... Ukiona mguu si ndiyo utadata?

    Kweli munawaita nyie,me sijazoea kuwaona hao mtoto km malaika,ukioa huendi hadi kazin unaogopa watakuibia!!tanga siji kwenda na wala sioi kwao
  9. Anakuja Yesu

    Huu ni Mkono tu, wa mtoto wa KITANGA... Ukiona mguu si ndiyo utadata?

    Kwani yy kampikia Mungu chai ya maziwa?anaweza asiolewe akaishia kushushwa nguo tu.ila wa hivo mm hapana kweli tena maana nikiugua akakosa mahitaji tayar ataenda kucheza mechi za ugenini ili apate.
  10. Anakuja Yesu

    Huu ni Mkono tu, wa mtoto wa KITANGA... Ukiona mguu si ndiyo utadata?

    Ndio mana nimesema kamba ikikatika.sawa mkuu nimekuelewa kwenu hakuna matatizo,hamufi,wala hampatwi shida.
  11. Anakuja Yesu

    Huu ni Mkono tu, wa mtoto wa KITANGA... Ukiona mguu si ndiyo utadata?

    Duuuuh!!kamba ikikatika anaweza kulima?hukukwetu tunasenya kuni atasenya kweli na mikono milain hiyo,atachimba majimbi,changanya utonvu wa ndizi,kupandikiza mpunga na kupalilia? ~Kapendeza lkn hongera zake
  12. Anakuja Yesu

    Kuhusu Roho

    Kweli ww ni ubongokids kwakua huna ubongo wa watu wazima/wakiutu uzima sawa mkuu,uko sawa maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.
  13. Anakuja Yesu

    Kuhusu Roho

    Halafu ww huijui roho yako na wala hujawahi kuiona,na hutakuja kaa uione,unawezaje kuisemea roho yangu?
Back
Top Bottom