Kuhusu Roho

Kuhusu Roho

Huwezi kuelewesha watu juu ya roho kwani roho ni Mali ya mtu hakuna anayeweza jua yaliyomo ndani yake ila yy peke Yake.

Wa pili ni Mungu peke aliyeiumba
 
KwA MUJIBU WA MAELEZO YAKO NAONA KABISA KUWA ROHO YAKO NI RAHISI SANA KUCHUKUA NA NI RAHISI SANA KUKUTUMIA ROHO TOFAUTI NA ULIYO NAYO.Ili kukupa ushahidi wa hilo.Jiulize ni kwa nini umesoma mpaka mwisho ukaelewa ila ukawa na shaka.Ni kwa sababu kuna mambo mengi ambayo unayabana ndani ya nafsi yako na hilo linawezekana tu kwa kuwa una roho inayoweza kufanya hivyo.Fahamu tu kwamba dalili ya kwanza ya mtu mwenye roho dhaifu ni kumuogopa baba au mama yako hata ukiwa mtu mzima.Kama unahofia watu waliokuzidi umri au wazazi wako basi niko sahii nikikwambia naweza kuiita roho yako hapa nilipo ni ikaja na wewe nikakuacha ukiwa mahututi kwa saa ishirini na nne.
Mkuu mbona,unaharaka?aliekuambia nimesoma nani?umeona kwenye maelezo yangu nimenukuu neno la mtoa mada?au umeelewaje?

~Biblia inasema usiwe na haraka kusema maneno kinywani mwako,weka lijamu muelewe mtu alikuwa yupo upande upi!

~Siamin kuila mtu/kila neno bali nimembiwa nizijaribu.
 
KwA MUJIBU WA MAELEZO YAKO NAONA KABISA KUWA ROHO YAKO NI RAHISI SANA KUCHUKUA NA NI RAHISI SANA KUKUTUMIA ROHO TOFAUTI NA ULIYO NAYO.Ili kukupa ushahidi wa hilo.Jiulize ni kwa nini umesoma mpaka mwisho ukaelewa ila ukawa na shaka.Ni kwa sababu kuna mambo mengi ambayo unayabana ndani ya nafsi yako na hilo linawezekana tu kwa kuwa una roho inayoweza kufanya hivyo.Fahamu tu kwamba dalili ya kwanza ya mtu mwenye roho dhaifu ni kumuogopa baba au mama yako hata ukiwa mtu mzima.Kama unahofia watu waliokuzidi umri au wazazi wako basi niko sahii nikikwambia naweza kuiita roho yako hapa nilipo ni ikaja na wewe nikakuacha ukiwa mahututi kwa saa ishirini na nne.
Halafu ww huijui roho yako na wala hujawahi kuiona,na hutakuja kaa uione,unawezaje kuisemea roho yangu?
 
sijaisemea,ila kuna ukweli katika nililosema kwani maandiko yako yamebeba sehemu ya roho yako
 
Shida gani?
Shida kubwa ni pale ambapo unapokuwa mzoefu sana unaweza kuwa na tabia za kiwehu au hata ukawa mganga wa jadi kwa kufikiri kuwa umegundua kitu kipya kumbe unajichezea shere mwenyewe.
 
sijaisemea,ila kuna ukweli katika nililosema kwani maandiko yako yamebeba sehemu ya roho yako
Kweli ww ni ubongokids kwakua huna ubongo wa watu wazima/wakiutu uzima sawa mkuu,uko sawa maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.
 
Back
Top Bottom