Recent content by Anakata

  1. Anakata

    JamiiForums Tanzania Nimeota nipo nje ya mwili wangu, ndoto hii inamaana gani?

    Hiyo siyo ndoto, ni kitu cha kweli kimekutikea, na ni watu wachache sana ukiwemo wewe hukumbuka na kuelezea hiyo hali. Watu wenye elimu ya Metaphysics watakuja kukujuza vizuri zaidi. Hili jambo lipo na ni la kawaida sana.
  2. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu unahitajika

    Ushauri muruwa kabisa.
  3. Anakata

    JamiiForums Tanzania Nijenge au nifanye biashara kwa akiba ya Tsh milioni 35

    Fanya biashara.
  4. Anakata

    JamiiForums Tanzania Jifunze hili husitapeliwe kama huyu alivyoibiwa milioni 40 benki

    Mifumo ya kibenki sasa hivi hiyo mbinu haifanyi kazi, kwasababu ili muamala ukamilike, ni lazima ujaze au uweke OTP(One Time Password).
  5. Anakata

    JamiiForums Tanzania How does somebody get drunk?

    Better abstain from alcohol, 1 or 2 shorts cause addiction.
  6. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Yap
  7. Anakata

    JamiiForums Tanzania Access Bank yainunua rasmi Standard Chartered

    Sawa, nitajitahidi.
  8. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Hiyo ndiyo sababu
  9. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Ila ni kiwanja kimoja kizuri sana [emoji3]
  10. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Unafahamu kwamba Obotte alifichwa kule Sali? Pogoro ni wasiri wakati huohuo ni wanafiki.
  11. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Wanawaita Mbui
  12. Anakata

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    [emoji23] Wale wamama wanaokuja kuuza vyakula jioni?! Haujaacha mtoto kule wewe?
  13. Anakata

    JamiiForums Tanzania Access Bank yainunua rasmi Standard Chartered

    [emoji116]
Back
Top Bottom