Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.
Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na...
Simaanishi hivyo. Kila mtu ana uwezo tofauti wa kufikiri lakini mwisho wa siku tunakuwa na mantiki moja.
Mtu anasema haamini kwa nini rais anatembea na silaha wakati ana walinzi na anafahamu kuwa tais nae ni mkazi wa dar na kwa wakazi wa dar wote mkuu wa mkoa kaagiza waka hakiki silaha zao...
Huu utafiti hapa Tz mbona mi sikuulizwa? Alafu uume wa inchi 7.06? Hicho ni kilema, sio sifa. Ndio maana wale watu warefu dumiani ktk guiness book of records wana matatizo ya kiafya.
Watanzania wengi uwezo wa kufikiri ni majanga. Siamini wanavyofikiria watu humu jf. Kuelimishana na kuwezeshana kufikiri kimantiki bado ni safari ndefu sana.
Jamani ebu tujaribu kufikiri kidogo, tusiwe wavivu kiasi hiki, yeye kama mkazi wa Dar es salaam, alitakiwa aifikishe vipi polisi kwa ajili ya kuihakiki? Au wangemfuata nyumbani kwake ikulu?
Kwanza hiyo/ hizo silaha anazimiliki kabla ya kuwa rais, hata Aden Rage anayo, viongozi wengi wanazo...
Pamoja ya kwamba mmetulazimisha kuongeza bei ya vifurushi kwa kutulazimisha tuongeze Tshs 3000/= kwa vifurushi ambavyo wala sio wote tunaovipenda, mmetuboa watu wengi sana. Mlikuja kwa mkwara sana ila naona kama mnaanza uswahili.
Nakubali kuwa nyie ndio viongozi wa kuleta manadiliko ktk tasnia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.