Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

anaesthetist

Member
Mar 20, 2016
27
22
Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.

Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.

Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
 
Mh,haya bana ila naona huku umekosea mkuu ungeweka hii thread kwenye forum ya matangazo madogo madogo.
 
Back
Top Bottom