Recent content by An Entrepreneur

  1. A

    Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    Mzee P ashatoa maelezo ya kina sana. Najua nawe Zanzibar-ASP ni mkongwe tu hapa jukwaani ila umeamua kujielekeza vibaya kuhusu Pascal Mayalla . Ukiwa na uwezo wa kumsoma vyema utamuelewa ni mtu wa namna gani kwa mujibu wa mabandiko yake . Hata sogeza sogeza mbele za uvunjwaji mabaraza utagundua...
  2. A

    Ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania na kudharau sayansi ya biashara na uchumi

    Kiongozi barikiwa sana kwa elimu nzuri kutoka kwenye kona uliyoina wewe. Nafikiri wenye maono mapana ya mambo haya kila mmoja akichangia toka kona yake mwisho wa siku tutapata jambo zuri sana. Be blessed
  3. A

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Namna ya utendaji wa viwanda ndo unakuwezesha kujua kipo katika daraja gani, mfano vidogo shughuli asilimia karibu 70% vinahitaji nguvu kazi yako , vya kati itakuwa 50% na vile vikubwa 10% ya nguvu kazi yako itahitajika.
  4. A

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Kwa uzoefu mara nyingi Kibaigwa huwa chini kidogo ukilinganisha na Singida, sababu viwanda vya Kibaigwa ni vile vidogo pekee.
  5. A

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Mafuta yanayotoka kwenye viwanda vidogo lita 20 ni kati ya 81k-85k , viwanda vya kati 105k-110k na vile vikubwa 110k-115k hizo ni bei za Singida. Mimi ni mdau katika biashara hii nasambaza mzigo Arusha,Mwanza ,Mbeya na Dar es salaam. Ukiwa na issue ya maswala ya mazao aina mbalimbali ndani ya...
  6. A

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Kiongozi habari yako OKW BOBAN SUNZU Kama maeneo unayofanyia mradi ni ukanda huu wa kati naomba fursa ya kuja kujifunza wakati mradi ukiendelea. Naomba mawasiliano yako PM tafadhali
  7. A

    Naomba mwenye namba za simu kampuni ya PanAfrica

    Kiongozi nakushukuru sana niliwapata hao wahusika kupitia mawasiliano uliyonipatia, Aksante sana.
  8. A

    Naomba mwenye namba za simu kampuni ya PanAfrica

    Habari za majukumu. Tafadhalini natafuta namba za simu za kampuni ya PanAfrica ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki { Galons } , naomba msaada kwa hilo tafadhalini. Wasalaam
  9. A

    Fursa kwa vijana 240 walio hitimu mafunzo ya mifugo

    Omba kwa njia zozote kama watakuita kwenye usaili nafasi utakuwa nayo iwapo utatoa utatetea nafasi hiyo zaidi ya wengine. Karibu
  10. A

    Fursa kwa vijana 240 walio hitimu mafunzo ya mifugo

    Habari kwa wote. Nimeliona tangazo la wizara toka kwa Mh. Mashimba Ndaki , ni fursa nzuri kwa vijana japo wigo umebanwa kidogo maana wamepewa wahitimu wa mafunzo ya mifugo kwa ngazi ya astashahada,stashahada au shahada kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Pia ni fursa kwa raiawaTanzania na...
  11. A

    Elimu ya Uwakala wa BIMA

    Okay ni mtazamo wako siukatai . Msaidie alieuliza swali apate anachokihitaji
  12. A

    Chagua kazi kati ya Geita, Dodoma au Arusha

    Uchaguzi wa wapi hapo unaweza kutegemea na malengo ya muhusika. Kila mmoja anaweza chagua namba yake na akabaki akishukuru na kumtukuza Mungu . Kama mchaguzi anaona kazi na akaishia kusubiri mshahara ni moja kwa moja bila shaka atachagua namba 1. Kama mwingine atataka kuwa na kazi mkononi na...
  13. A

    Elimu ya Uwakala wa BIMA

    Nilishawahi fuatilia kwa kipindi cha nyuma kidogo, mahitaji ilikuwa unatakiwa kudeposit kiasi fulani kwenye account yako ambayo wao watakuwa na uwezo wa kuifikia pia. Hii ni kuonesha kwamba utakapoanza kazi basi nao watakua salama na pesa yao,ambayo wewe utakuwa unaikusanya. Kila wiki utakuwa...
  14. A

    TMA toeni utabiri wa mvua za masika

    (Kiongozi jaribu kiingia kwenye tovuti ya mamlaka ya hali ya hewa Tanzania kuna taarifa zinaweza kukusaidia , hasa doc yenye kichwa cha habari " UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2020 – APRILI, 2021) " itajibu maswali yako ) . Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania...
  15. A

    Tanzania must have programmes designed to foster high-minded Economic agendas

    Thanks a lot Brothers Gerald .M Magembe and Freddie Matuja for this brain food for us. This thread is thread of the year for me 🙏🙏
Back
Top Bottom