Recent content by Amugisha

  1. Amugisha

    Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika

    Thanks [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  2. Amugisha

    Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika

    Vyovyote tu ndugu kikubwa msaada upatikane.. Niambie tu vyakula gani vinapaswa kuliwa.
  3. Amugisha

    Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika

    Vyovyote vile ndugu utakavyo hisi wewe kikubwa ushauri tu.
  4. Amugisha

    Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika

    Kwakweli nimeshindwa kuelewa sjui kuna mshipa walikata.. Ndo imekuwa tatizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Amugisha

    Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika

    Rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo fulani ambalo hakuwa nalo tangu mwanzo anaweza kufanya nini ili kuepuka hii haibu japokuwa kwasasa limekuwa kama janga la taifa. Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika, na akijitahidi basi inamulazimu awe kama anajichua kwanza kwa muda...
  6. Amugisha

    Je, mshahara wa mke huhusika kwenye matumizi mbalimbali ndani ya nyumba?

    Msanamke akishaanza kushika vijisent kiburi kinashika hatamu
  7. Amugisha

    Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

    Pole najua inaumiza lakini kwasababu ushatwambia unampenda kukushauri itakuwa vigumu .
  8. Amugisha

    Hili tatizo la RUSHWA kwenye ofisi za NIDA wahusika wanajua?

    Yaani serikali ni kama imewaacha wafanye wanavyotaka hakuna usimamizi kuna rushwa na utapeli hatar
  9. Amugisha

    Maisha ya ndoa

    Ila nayafanyia kazi mawazo yenu.
  10. Amugisha

    Maisha ya ndoa

    Umeongea ukweli kaka mwanamke kucheat ni ishara ya dharau tosha huitaji kujiuliza maswali mengi.
  11. Amugisha

    Maisha ya ndoa

    Hii ni mala ya 3 anarudia kosa ilo ilo.
Back
Top Bottom