harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Mwanamke kaumbwa kukueshimu na sio kukupenda heshima ikishuka game limeisha!
Naelewa ili tuishi kwa Aman basi nirudie tabia yangu ya zamani ili kupunguza maumivu na je nikirudi uko tutakufa kwa maradhi maana kila mtu ataleta kwa muda wake, iman haipo hatuaminian tena, najaribu kuwaza namna tutakavyojipanga ili tuanze upya sipaon pa kuanzia hali ni teteKuanza upya vipi kuhusu watoto? Malezi ya watoto (kutoka kwa mama wa kambo?).Niassume ni mkristo pia ukifa utazikwa kama mbwa bila hata ya misa!Things are not simple as they seem.Komaa wewe ni mwanaume wewe ndio msingi wa ndoa,vitu vitakaa sawa ukitaka!
Ila nayafanyia kazi mawazo yenu.Kuanza upya vipi kuhusu watoto? Malezi ya watoto (kutoka kwa mama wa kambo?).Niassume ni mkristo pia ukifa utazikwa kama mbwa bila hata ya misa!Things are not simple as they seem.Komaa wewe ni mwanaume wewe ndio msingi wa ndoa,vitu vitakaa sawa ukitaka!