Recent content by amtoni mwaihesya

  1. A

    Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Anaweza kuwa mtumishi wa Mungu anayehitaji Roho Mtakatifu kumwongoza kutibu Roho za watu kwanza.Mungu anajali sana mioyo ya wanadamu kumrudia yeye kutoka utumwa mwa dhambi zetu.Mungu anasema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu ndipo na hayo mengine mtapewa.Hata hivyo Mwamposa si kama wengine
  2. A

    Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

    Ogopa sana wafanyakazi wa ngazi za chini
  3. A

    MNYIKA: Katiba mpya 2025 tumechelewa

    Takwa la katiba mpya kutoka vyama vya upinzani limeanza lini?Mbona mnalaumu kama msio na kumbukumbu na kama mnazo mbona hamlaumu mamlaka kukalia kimya matakwa ya wananchi ya kuandikwa katiba mpya?
  4. A

    Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

    Na 5 sawa kabisa kwa mfano TL ni mkristo lakini ktk maoni yake amewakosoa Israel katka vita na Hamas akimaanisha haki na upendo kwa binadamu wote
  5. A

    Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

    Nimesoma maoni ya watanzania kuhusu viongozi naona wameanza kutambua kuwa wao ndio waajiri wa viongozi.Hii ni hatua Moja kubwa ya kujitambua
  6. A

    Nape, huna maadili ya kukemea waliokosa maadili juu ya uzushi wa Makamu wa Rais Mpango

    Pia alimshutumu Mbowe bungeni wakati wa mjadala wenye utata wa mkataba wa DP world kana kwamba bandari ni Mali ya Ccm.Lugha aliyoitumia haikuwa ya kiungwana kwa mtu kama Mbowe
  7. A

    Tanzania tuko vizuri kiuchumi kulinganisha na majirani zetu; VP Gachagua wa Kenya kasema Uchumi wao umetoka ICU sasa uko wodini

    Katikakatika ya umeme kikiendelea,huenda kichwa Cha habari kikabadika na hali kuwa mbaya kuliko jirani
  8. A

    Mlio kwenye ndoa: Hivi kuna ratiba ya kupeana unyumba?

    Sisi sote tulipokuwa tunao wake tuliamini kazi ya mume ni kupata unyumba kila utakapo na chakula pamoja na kufuliwa nguo nk.Kumbe ndoa ni zaidi ya hayo.Je mnaishije na jirani au mnaleaje watoto.Je mwenzio ni mambo gani anayapenda na yapi anayachukia?Ndoa si kitandani tu
  9. A

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Hongera sana mabinti kwa kuntunza na kumuguza baba yenu.Ingependeza kama serkali kupitia wizara ya Afya kutoa pole kwa msiba wa mtu aliyehudumia viongozi na watu wa kawaida kwa weledi mikubwa.
  10. A

    Dodoma: DC wa Chamwino, Gift Msuya ajeruhiwa kwenye ajali baada ya gari lake kugonga treni

    Kuna tahadhari ya maandishi ya "railway crossing, Kuna honi ya treni inapigwa sehemu hiyo lakini saa Moja usiku taa za engine ya train ni Kali na zinakuwa zimewashwa tayari.Wakati mwingine inakuwa vigumu kama wote walikuwa wamelala
  11. A

    Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Yatuhusu nini yote haya; kwani JF ni chombo Cha Ccm?
  12. A

    Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Tatizo ni vyombo vya habari Ili wakurushe hewani na kusikika ni lazima umsifu Rais.Ukizumgumza mawazo Yako tofauti na Rais hata kama ni mazuri,hutasikika na mtu,wanawaogopa wajiri wao ambao pia wanaogopa serikali kufungia vyombo vyao.Ni mfumo
  13. A

    Humphrey Polepole: Jaji Ntemi alitufuata CCM akatuomba tumpelekee orodha ya Mawakili tunaotaka wafungiwe

    Yuko sawa kivipi yeye ni rpc ? Hii ni tofauti na COVID-19 inavyoshughulikiwa?
  14. A

    Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

    Huu pia ni wizi wa ushindi wa kura kisaikologia Ili mje mseme"tuliwanbia"
  15. A

    Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Mi nadhani mwandishi alitoa fursa ya kumwepusha makonda na shutuma hizi.Lakini kwa majibu haya ya hasira,shutuma zinazidi kupata nguvu kwa jamii
Back
Top Bottom