Recent content by amsha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi tuielewe vp serikali hii katika suala la bunge live

    Mwanzoni mwa mwaka huu wa 2016 serikali kupitia waziri wa habari,Sanaa,utamaduni na michezo tuliambiwa kwamba serikali haitaendelea na kuonyesha bunge live kwa kuwa ni gharama.Baada ya hoja hiyo wamiliki wa vyombo binafsi vya habari walijitojeza wakasema kwamba wao watarusha matangazo live...
  2. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA, ALAT wapinga TRA kupewa jukumu la Kukusanya kodi za majengo

    Mpaka dhana ya kuwepo na kuanzishwa kwa serikali za mitaa iliyoanzishwa na sheria ya mwaka 1982 ilitokana na huko nyuma kwamba serikali kuu enzi za Mwalimu ilisimamia na kupanga mapato kwenye halmashauri na miji Tanzania kupitia watu walioitwa ma RDD ambao ndio walikuwa na majukumu hayo toka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe katika Mkutano wa 'Linda Demokrasia' Mbagala, Dar - Juni 5, 2016

    Jana nimefuatilia hotuba ya mh zitto kabwe ameongea vitu vingi sana hasa kwa mustakabali na mwenendo wa taifa kwa sasa kutokana na uongozi wa jpm. Nikichokiona ni kwamba jk alifanya kazi kubwa sana ya kuinua mustakabali wa nchi kwenye kila nyanja ukianzia miundo mbinu ya barabara ,mashule...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mapato ya mwezi Mei ni kiasi gani?

    Nchi haiendeshwi kwa vision tena kila kitu hakiendi sawa hata watanzania wa kawaida ambao wanaamishwa kwamba tunaenda vizuri muda c mrefu watashtuka
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Akiweza kumtumbua jesca ,billion 256 hewa za wizara ya ujenzi,nyumba za serikali na kivuko chakavu cha bagamoyo na lugumi kweli baba jesca tutaamn hayo unayoyasema.Kwasasa hatuna kiongozi mwenye maono nchi inakwenda kuzama hii
  6. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ''The Economist'', gazeti la UK

    Kama uchumi haujazorota hebu tuambie mapato ya mwezi mei ni kiasi gani
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mapato ya mwezi Mei ni kiasi gani?

    Waje wakina Mzee Mwanakijiji na wenzie ambao kazi yao kumsifia mfalme waje watoe ufafanuzi juu hili maana kwa serikali hii ya kupenda sifa kama mapato yangekuwa yanaongezeka haraka sana tungetangaziwa ili kuonesha ni namna gani serikali yetu tukufu ilivyofanikiwa kuongeza mapato. Hakika huu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mapato ya mwezi Mei ni kiasi gani?

    Tulizoea miezi ya nyuma kutangaziwa mapato na matumizi toka awamu hii imeanza lakini sasa hali imekuwa tofauti hayatangazwi tena je nini kimetokea ? Au mapato yameshuka isivyo kawaida maana tuko gizani hatujui ni kiasi gani kinakusanywa. Je athari za kupungua kwa meli bandarini inaweza kuwa ni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Chati ya Kisiasa: Magufuli anaenda chini kasi, Kikwete anarudi juu taratibu

    [Hebu tupe mapato ya mwezi May maana hata wafanyakazi walichelewa kupata mishahara tumefikia hali ngumu sana mapato yameshuka kuliko kawaida hizi ni dalili za uongozi mbovu na sababu zinazomshusha jpm kwa haraka QUOTE="Prosper C Manasse, post: 16394051, member: 343041"]Wataomkumbuka JK Ni Wale...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Ww Ni muongo kuliko wote kama historia huijui kaa kimya ufunzwe nyerere hakupenda kung'atuka ila alilazimika kutokana nanchi kuwa kwenye hali mbaya kuwahi kutokea watanzania waliteseka sana uchumi ulikuwa negative ukikutwa na kilo zaidi ya moja ya bidhaa ww ni muhujumu uchumi heal ya kuendeshea...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wazidi kupungua kutoka Asilimia 5.4 Mwezi Machi hadi 5.1 Aprili

    Huo mfumko wa bei umeshuka lini hivi mbona kama macho na masikio yenu yamezibwa huenda kwa bahati mbaya au maksudi mambo hayaendi vizuri vitu viko bei juu maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu na hakuna masuluhisho ya maana ndani ya miezi sita ya jpm vitu vimepanda maradufu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Wakati Mzee mwinyi anapokea nchi uchumi ulikuwa unasoma negative hali ya maisha ya watanzania ilikuwa mbaya sana watanzania walikuwa wanavaa viraka naona taratibu tunarudi enzi za nyerere kwenye huu utawala
  13. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs Kikwete - Magufuli na Tahadhari

    SamTu160, post: 15943674, member: 354763"]Huu ujinga jiaminishe mwenyewe.... Ajira za boda boda? Fly over JK hausik kabisa, jiwe la msingi limewekwa na nani? Kuweka jiwe la msingi c tatizo je mchakato Wa huo ufadhili umeanza lini je uchambuzi yakinifu mpaka kufikia hatua ya kuweka je you...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs Kikwete - Magufuli na Tahadhari

    Uusisahau fly over ya tazara hiyo ni legacy ya kikwete haitakaa ifutike umeme vijijini ajira za Bodaboda international terminal three
Back
Top Bottom