kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Uwanja wa Taifa Mkapa labda kama unaongelea uwanja wa Uhuru.
Nyumba za polisi??sekondari za kata wanazosoma wadogo zako?
Uwanja wa Taifa Mkapa labda kama unaongelea uwanja wa Uhuru.
Naona unajitahidi kwa vyovyote vile ili ionekane JK hana mchango wowote?? kwahiyo UDSM alijenga Nyerere kwa pesa zake binafsi! Hizi roho za chuki mnafundishwa wapi?Chuo kikuu dodoma ni fedha za PSPF/PPF kama sijakosea, na mpaka leo wanadai deni, hawajalipwa! Kikwete hausiki
Unity Bridge alijenga Mkapa ila lilizinduliwa na JK na siku ya uzinduzi Mkapa alialikwa na nakumbuka JK alimsifia Mkapa kwa kusema alifanya Maamzi magumu.
Mkuu nimejibu yaliyokuwa yameandikwa hapo tu na si vinginevyo.Na ile taasisi ya moyo aliyolazwa pengo juzi kati?
Naona unajitahidi kwa vyovyote vile ili ionekane JK hana mchango wowote?? kwahiyo UDSM alijenga Nyerere kwa pesa zake binafsi! Hizi roho za chuki mnafundishwa wapi?
Uwanja wa Taifa ni Mkapa
Daraja la Umoja ni Mkapa
Hayo ya barabara za lami, ni fedha za MCC, sio kodi zetu
Chuo kikuu dodoma ni fedha za PSPF/PPF kama sijakosea, na mpaka leo wanadai deni, hawajalipwa! Kikwete hausiki
You can make good president come forward.. Jakaya Kikwete, 2015.
Bado namuona JK akiwa moyoni mwa watumishi wa umma soon. Mwanadiplomasia mashuhuri wengi humu watakukumbuka sana Jk.
Twendezetu na John Pombe Magufuli,
Hapakazi.
Barabara ya Lami toka Mtwara hadi kigoma? Hii jiografia imekaaje sijui... Twambie kupita Wapi?v) Uwanja mpya wa kimataifa wa ndege JNIA terminal 3 ni mzuri kuliko hata amsterdam
vi) BOT twin tower
Vii) Meli/boti Mv Dar es salaam
viii) Lami kutoka Ntwara mpaka Kigoma...
ix) Kiwanda cha cement Ntwara
x) Kiwanda cha viuatilifu vya kuteketeza Mbu Kibaha...
xi) Vyandarua Bure nchi nzima na kutuhimiza kuweka kabla ya kulala kila saa 3 usiku
Xi) Shule za sekondari WAMA Ntwara
xii) kubwa kuliko yote... Uhuru wa habari, mitandao ya kijamiii huru....,
NACHELEA KUSEMA HATATOKEA RAISI KAMA KIKWETE........,
Watokwa mapovu karibuni....
YOU ARE VERY WRONG!!!!!!
Huu ujinga jiaminishe mwenyewe.... Ajira za boda boda?Uusisahau fly over ya tazara hiyo ni legacy ya kikwete haitakaa ifutike umeme vijijini ajira za Bodaboda international terminal three