Recent content by amranik

  1. amranik

    SoC02 Vijana na Afya ya Akili

    VIJANA NA AFYA YA AKILI Kijana anatakiwa awe na afya ya akili kwa ustawi wake na jamii kwa ujumla. Afya ya akili nii hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Kuwa na afya ya akili itakuwezesha kuhimili mabadiliko...
  2. amranik

    SoC02 Mawazo biriani chanzo cha kuchelewesha maendeleo kwa vijana

    MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
  3. amranik

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Ahsante sana #Dastani_kisaka fanya ku vote hapa SoC 2022 - Mwanga halisi wa mafanikio
  4. amranik

    SoC02 Mwanga halisi wa mafanikio

    Ahsante sana #Black_billionaire
  5. amranik

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    MWANGA HALISI WA MAFANIKIO Kutokana na maendeleo ya dunia ya leo ya sayansi na teknolojia vijana wengi wanatamani kupata mafanikio ya haraka pasipo kufanya kazi kwa bidii hii hupelekea ongezeko kubwa la vijana kutegemea michezo ya kubashiri maarufu kama kubet na wengine kujiingiza katika...
  6. amranik

  7. amranik

    SoC02 Mwanga halisi wa mafanikio

    Kutokana na maendeleo ya dunia ya leo ya sayansi na teknolojia vijana wengi wanatamani kupata mafanikio ya haraka pasipo kufanya kazi kwa bidii hii hupelekea ongezeko kubwa la vijana kutegemea michezo ya kubashiri maarufu kama kubet na wengine kujiingiza katika vitendo vya kihalifu ili kuweza...
  8. amranik

    Wadau wa mchezo wa draft, Leo Kuna mpambano wa kukata na shoka Ronaldo vs Noel

    Kuna app ya online draft ....ni nzur yani unacheza na mwenzako wa mbali
  9. amranik

    kelvn

    Iyo post yake ni ya 2018 mkuu
  10. amranik

    kelvn

    Ulimalza mkuu
  11. amranik

    Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

    Naomba nitumie hzo books broo
  12. amranik

    Bodi ya mikopo ni kero kubwa kwa wanafunzi nayo imejigeuza mhimili

    Pole sana ndio maisha ..........dont give up
Back
Top Bottom