Oy mzee kwa hiyo hatua mpaka umefika hapo kwanza unapaswa kupewa pongezi kulea kwa miaka mi3 mwenzako hana kazi ni shida sana. Ukizingatia hali yenyewe ya huu mwaka ilivo alafu bado mtu anakuletea misheni za ajabu hivo wewe cha kufanya hapo left muache peke yake akili itamjia na atajiongeza tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.