Hahaha ni genge fulani la wahuni tu hao.vipindi havieleweki,ratiba nadhani inabadilika kila leo...ukianfalia kipindi jnne ya wiki hii next week utakuta kipindi kingine muda uleule...kurudia vipindi ndio kabisa wamezidi wanaweza rudia kipindi hadi ukakariri maneno
Hao jamaa tv inewashinda basi tu wanakufa na tai shingoni...hyshangai wameshindwa kurusha mechi zao za ndondo hata za marudio hadi wanaomba sponser Azamtv...walidhani ni rahisi km radio
Nafikili nipewe muda katika hili...au tumuombee awajue kwanza maskini ni watu wa aina gani,huenda katusahau...ni Sisi tunaotoa buki mbili tatu mpesa,na atm...matajiri wanatumia cheques...mkuu tunakuombe katika hili kwanza uzima utakuja baada ya hili naona hapa umefumba macho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.