Recent content by Amphioxus

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa na kibamia hakuna demu aliyepata ushindi kwenye mechi dhidi yangu

    Every man is proud of his penis no matter how small it is...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

    Then wewe utafaidika nn na huo uamuzi?, watu mnashabikia nchi yenu kuadhibiwa!!. This happens in Tanzania only
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mmewahi kujiuliza why Makonda na sio viongozi wengine?

    Wewe mwenye hicho cheti, umesha lifanyia nini Taifa lako?. Acheni chuki za kijinga... Iko wazi, jamaa anachapa kazi kuliko hata wenye PhD.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Karibuni

    Tangaaa
  5. A

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Baada ya Patrobas Katambi, nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa?

    Gwamaka Mbughi. Katibu bavicha mkoa wa Mbeya.Huyu kamanda ana sifa zote ulizoainisha kwenye hiyo thread.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Umeongea vyema mkuu.. Mtu yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atamsifu na kumpongeza Bashite. Ila waliokuwa na maslahi flani flani kwenye biashara ya ngada, lazima wamuandame jamaa ili kumvunja moyo. Mungu amtangulie RC wetu katika vita hii..
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tumebishana sana leo kazini; Binadamu tunaishi ndani ya dunia au nje ya dunia?

    Wewe ni kilaza usiyetaka kubadilika... Pamoja na evidence zoote zilizotolewa including satellite photographs bado huamini!?.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Naunga mkono hoja kwa asilimia zote. Jamaa anafaa kabisa kuwa rais wa tz yetu hii yenye changamoto lukuki.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mchina anaweza kujinyonga kwa hali ngumu ya Maisha, Mtanzania je?

    Sio "Assumes", bali ulitaliwa useme "Assumptions"
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwaliko kwa makundi mbalimbali kuwasilisha orodha ya watu kuteuliwa Bunge la katiba

    Sasa wewe Maandamano kila mtu unampinga, je unataka uende wewe?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa bachelor of science in chemistry ya udsm je kibongo bongo ina dili?

    Ajira ni TBS na viwandani, kapige msuli kijana kuna kemia tamu sana pale!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya ambao hawajachaguliwa na TCU

    Rudi darasani ukafundishwe Tenses and the use of Prepositions sababu kiingereza chako ni Very Poor!
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBA imeisha Mtoto mrembo aibuka mshindi tumejifunza nini

    Tumejifundha kuongea kiingeredha!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

    Wivu unakusumbua tu wewe, kama amekopi kinacho kuuma ni nini?, au wimbo alio copy ni wa bibi yako?. Mtu akifanikiwa tu wanafiki mnaanza majunguu, mwacheni dada wa watu bhana a!
Back
Top Bottom